Home
Unlabelled
shikamoo mzee...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Angalau hawa wawili wamekumbuka kwamba maadhimisho siyo lazima yaendane na kuvaa suti na tai kutoka ughaibuni.Uzalendo unaendana na kupenda vya nyumbani na wakuu wa nchi kama hawa ni lazima wawe mfano.Sio kusimama majukwaani wakielezea umuhimu wa kununua bidhaa kutoka viwanda vya nyumbani huku wao wakiwa lipulipu na kila kitu cha nje,kuanzia jezi za ndani mpaka nje.
ReplyDeleteNimesikia kuwa kwa kuwa hawa jamaaa ni washikaji wa siku nyingi wamebatitizwa jina "BOYZ II MEN'.Ref darhotwire.com
ReplyDeleteJeff, umemuonea Dr. Shein, naye katinga kiwalo local! - inatia moyo namna hiyo.....
ReplyDeleteyeh niliishasoma hiyo ni boys 11 men...tunawaombea mungu..mwanzo unaonyesha wanafanya kazi nzuri ..
Mashati ya mzee Mandela yametinga Bongo! Safi kabisa.
ReplyDeletesijui nia ya michuzi kuweka hii picha! ila naona wtz wenzangu wengi wameona mavazi tu!
ReplyDeletehawa ndio machifu wakuu wetu,je JK anaweza pga mtu ngumi kama mwenzake jerry rawlings(ghana)?au mfuta mtu kazi? yuko chifu mwingine mahita-polisi mkuu yupo bado?
anyway nakuomba tena bwana michuzi kama unaweza tuwekea picha ya mzee Ruksa na baraza lake jipya baada ya kulivunja mwaka 90.namzimia sana huyu mzee ruska ni mliberali mwenzangu, ombi,
jamjuah
we michuzi! hebu tufahamishe! huwa inapigwa shikamoo hapo? ndio mana Shein anacheka nini?
ReplyDelete