Home
Unlabelled
tiba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
cheo chake ni kipi? cha ngapi kutoka juu? Anayeweza anitajie vyeo vya polisi kuanzia IGP hadi Assistant Inspector
ReplyDeleteKabla huja Assistant Inspector ni lazima kwanza uwe Lt. General
ReplyDeleteHayo macho vipi? Mbona mekundu>
ReplyDeleteJuu kabisa kuna Inspector General ambacho ni cheo na madaraka pia. Chini yake Commisioners of Police (CP) halafu kuna Deputy commissioners (DP), wakifuatiwa na Senior Assistant Commissioners of Police (SACP). Kwa chati wanafuata Assistant Commissioners of Police (ACP), halafu Senior Superintendent of Police (SSP), Superintendent of Police (SP). Hawa ndio wanaweza kulindana hata wakiboronga kazi.
ReplyDeleteHawa wengine ni maafisa lakini wakubwa wakikaliwa kooni wanawatosa; Assistant Superintendent (ASP), Inspector of Police (IP) wanafungakazi Assistant Inspector of Police (AIP).
Tiba kwa kweli ana kazi. hebu tufafanulie. inawezekana askari wadogo wanampenda dar? maana walisema wanataka waonane na waziri wakiwa na tiba!
ReplyDeletehuyu bwana picha zake zote jicho limeiva. kuna mawili, maji sana hau hapati usingizi! rafiki yangu Mary Zabron aliwahi kuniambia hata siku moja kazi haijawahi kuwa picnic..kazi ni kazi!
jambazi huyu, tena mvuta bangi
ReplyDeletePOLISI UNATAKIWA UWE NA SURA YA NAMNA HII,AU YA MAHITA KABISA!WAHARIFU WANAPENDA SURA NZURI?
ReplyDeleteaaaa!! mmmh! Hawa wahalifu ni watatu,na naaa.mmm,tumewakamata na kuwa arrest.
ReplyDeleteHuyu kweli atatulinda? mie naona ni jambazi sugu, angalia sura yake- amlewa au alikaa macho usiku ...aibu jamani
ReplyDeleteJamaa anafanya kazi yake vizuri, ila bangi mtu, kuiacha hawezi
ReplyDeleteni vigumu kurekebisha jeshi la polisi na kukabiliana na uharifu tanzania. katika jeshi hilo kuna mchanganyiko wa majambazi, wala-rushwa na mapolisi halisi wachache. Inakuwa vigumu ukiwa na wasiwasi na usalama wa mali yako umwamini nani maana hata ukiomba msaada wa polisi si ajabu yeye akawa ndio insider wa kutoa deal kwa waharifu.
ReplyDelete