gari la kisasa la faya lenye shingo ndefu kupita jengo lolote bongo lipo nchini tayari kupambana na moto wa aina yoyote.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. wameleta ilo mapema maaana safari hii inaweza ungua ikulu. maana hao wazee wetu ndio wanachoma wenyewe wakishafanya vitu vyao humo.!jj

    ReplyDelete
  2. nyaya za umeme je huko juu?

    ReplyDelete
  3. Tunachoomba tu lisiwe linaegeshwa masaki na oysterbay mda wote!!!Kwa Dar yanatakiwa matatu kama hayo ili kila wilaya iwe na lake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...