Home
Unlabelled
madiba na mai waifu wake zilipendwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aisee! Wametoka mbali sana hawa watu! ..basi tu.
ReplyDeleteHalafu nina swali Michuzi. Hivi kweli Winnie ndo angekuwa amefungwa miaka 27, huku nyuma kweli mzee asingeweza kufanya kosa alilofanya Winnie?
kwa vile sijui kosa alofanya winnie, ama angalau sijapata ushahidi, siwezi tia neno maana utakuwa umbea, kama si udaku. kwani ingekuwa wewe mija ungefanyani?
ReplyDelete...mmh! hata sijui yaani!!
ReplyDeleteKipi ki kati yenu Mija na Michuzi. Natania.
ReplyDeleteMichuzi wewe mjanja sana. Nilikuomba-ga kapicha haka siku nyingi ukachuna-ga 'afu' leo umekaleta-ga kama vile kisailensa.Maombi yangu mawili bado.Moja liliambatana-ga na Mandela moja nimetuma wiki(juma)iliyopita.
Hizi ndo picha tunazotaka-ga
Dk Omari kipindi hicho alikuwa na cheo au kazi gani?
ReplyDeletedk omar (marhum) alikuwa waziri kiongozi zenj
ReplyDeleteMija, nadhani tatizo kwa Winnie halikuwa tu kujirusha na vibwa mdogo lakini zaidi pia ni maskendo ambayo yalikuwa yanamuharibia pia bwa wake kwenye medani za siasa! pia nadhani si kwamba kuvunjika huko ni adhabu kwa Winnie kwani unafikiri mzee huyo tena kukuruka anaweza? hawa wenzetu ninaishi nao nawajua, wala usidhani wanasikitika - ga kuachana-ga, maana wanaamini pia inabidi umalizana-ga na cheese ya zamani kabla ya kuanzana-ga na mpya. talaka na remarrying ni vitu vya kawaida. je unajua kuwa Nkosi Dlhlamini Zuma alikuwaga mke wa Jacob Zuma? unajua Zuma aliishaoa na kuacha si chini ya mara tatu? na sasa hivi ana kesi ya kubaka (leo yuko mahakamani...ukitaka hizi njoo www.sabcnews.com halafu ingiza unachotafuta labda jacob zuma halafu search).... eti ilikuwaje kuna mwanamke rafiki yao alimtembelea, halafu mzee mzima akaomba aperfom massage halafu akapitiliza!
ReplyDelete