da mija upoooo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi ili kukamilisha safu hii ungetutafutia na ya mke wake wa kwanza.

    Lakini twende mbele na kurudi nyuma.. 'Mzee anajitahidi kuchagua'. Tunashukuru kwa picha ukipata zaidi usisite kuongeza.

    ReplyDelete
  2. Graca ana mitego si mchezo!!!!!
    Rais wa pili huyo yu maungoni mwake na bila shaka baada ya madiba anaweza akatua mwingine tena.

    ReplyDelete
  3. mzee wa mizoga huyu hatari anamvizia sana mama nyerere

    ReplyDelete
  4. kwa kweli basi tuu lakini winnie ni mwanake bwana mzuriiiii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...