Home
Unlabelled
makene kazini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa mchuzi umeanza kuishiwa sera!
ReplyDeleteHii picha nimeipendea kitu kimoja, kwamba inaonyesha jinsi utamaduni wetu wa kula chakula ulivyo. Kwa mfano kwa wanavyuo labda umepewa kazi ya kuandika pepa juu ya tofauti tamaduni za kiafrika au kitanzania na za kizungu, hii picha inaweza kuwa kielelezo kizuri kama utakuwa umegusia masuala ya ulaji, kwamba asili yetu ya ulaji ni kula kwa mkono na kwa pamoja katika sahani moja kubwa ambapo wote huizunguka, na kama picha inavyojieleza wanaume hukaa kivyao hali kadhalika wanawake na watoto.
ReplyDeleteUkimaliza hapo unasakanya na picha za ulaji wa kizungu unamkabidhi mwalimu. Umemaliza mchezo.
Picha hii na zile zingine zote za pilau ulizozileta nimekuwa nikizitizama kwa jicho hilo.
Mila zetu zina raha jamani.
Sasa ustaarabu uko wapi, sinia la wote unaweka ndizi yako katikati ya msosi, huyo jamaa aangalie wenzie ndizi zao ziko pembeniiii.
ReplyDeleteLondo
huu ni uchafu mtupu hakuna cha mila wala nini, kama ni mila zimepitwa na wakati,, mila gani kuchomeka midole watu kumi kwenye sinia moja, huu ndio mwanzo wa maradhi kama vipindupindu na kuhara, kinyaa kitupu "kcc"
ReplyDeleteMichuzi hapo nimeona maana hizo ndizi mbona kila mtu kajiwekea zake pembeni au ndio walikuja nazo wenyewe tayaritayari kwa mlo? Nimecheka hapa na kasi ya mikono, kama wewe mkali sasa tafuta ile ya wavuvi wanapokula nguna na samaki kila mmoja kashika mkononi
ReplyDeletemila zetu ni nzuri saaaaana,
ReplyDeletesuala la uchafu hilo halina uhusiano na watu kula pamoja,kwani watu si wananawa vizuri tena na sabuni kabla ya kula,
hizi ni mila safi saana za kijamaa na kidugu mnakula pamoja,mnaishi pamoja.
zidumu mila hiziii.
nyinyi mnaojifanya wazungu hata huko kwa wazungu mnatengwa na mnabaguliwa na mnaitwa mbwaaaaa.