hawa ndo vijana machachari wa afrikali group, kundi linaloundwa na vijana wengi toka sisi tambala. juzi tu walikuwa los angeles na mwezi wa nne wanaelekea sweden pengine na finland. anaewahitaji anistue...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwa kweli wametulia, yule anayepiga ngoma pembeni ni Salumu au?..maana haonekani vizuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...