Home
Unlabelled
mh. amina chifupa wa mpakanjia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa mtaji huu tuna kazi.
ReplyDeleteLondo
mzigo wa jk huu baba.kcc
ReplyDeleteWabongo kwa kuchonga mmezidi kha!! Just cause yuko kwenye hiyo position basi kila leo mnatafuta sum negative to say. Acheni wivu.
ReplyDeleteNaungana na Londo. Hivi huyu kweli anaweza kuchambua na kudiscuss issues? Au ndio ile mizigo ya ujinga tunayorundika kule bungeni?
ReplyDeleteJamani apewe nafasi huyu binti wa kuonyesha makucha yake.
ReplyDeleteBongo kiboko, dada kama huyu anaweza zungumzu point gani bungeni? Anajua kweli kama sasa hivi Bongo tuna njaa?
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteHii picha umepiga wapi? Hii nyumba ni nzuri sana.
Huyu dada mna anwani yake? Nitamwomba uchaguzi ujao asimamie Kimanzichana.
ReplyDeleteMr. Anonymous,
ReplyDeleteSounds to me you need to go back to grade school to learn grammar and a little etiquette.
--Majaliwa
PS: Bwana Michuzi Samahani kwa kutumia lugha ya Kiingereza kwenye baraza lako Adhimu.
Dondo zinatonya kuwa huyu mheshimiwa anakibui hata mbele ya festi laidi kisa ni kuwa tayari alikwisha pindua na JK kazi iko kwetu sisi vijana wa marika ya hawa waheshimiwa wa sasa maana sijui ni vigezo gani vilitumika kuwapatia ulaji maana kama alikuwa bibi yako wa zamani basi minya ulisilete balaa.
ReplyDeletedu! yaani huyu dada alipata yai kidato cha sita nae ni mbunge siku hizi. kweli bongo tumekwisha manake hata mapaka wa viongozi siku hizi wanapewa nyadhifa kama hizi.
ReplyDeletekapata yai lakini ndio mtunga sharia na tena anaweza kuwa waziri wa fedha jk akipenda! bongo inakwenda kibongo bongo! noma.
ReplyDeletemhhhhhhhhhhh nyie vijana hivi huko kwenu huwaga hakuna wakubwa? ngoja niendele kulala zangu mie mhhhhhhh!! lakini ni noma kwa kweli!
ReplyDeletewakubwa kwetu wapo ila hawajapata yai kaa da-chifupa.
ReplyDeleteinawezekana aliyanya mitiani ya jioni ile labda,tumpe nafasi naye dachifupa
Tukiendelea na hoja kama hizi tutapoteza mwelekeo,mamntiki na heshima ya blog ambayo tumekua tukiipigania kila kukicha.
ReplyDeleteWakati wa kujenga hoja tujaribu kuondoa jazba na chuki binafsi na sio kukazania maneno ya mitaani tu yasiyo na mantiki.Nani kawaambia Mh chifupa alipata zero kidato cha 6?au nani kawaambia anao uhusiano wa kimapenzi na JK??
Elimu ya darasani pekee si kigezo cha mtu kushika madaraka!!!mbona utawala wa BENNY kulikua na Maprofessor na Madaktari lukuki lakini bado tukashuhudia sheria za kipumbavu zikipitishwa kana kwmba hawakufanya uchambuzi wowote hao waheshimiwa????
Au nyie mnataka bungeni waingie vijizee tu visiokua na maono chanya juu ya matakwa ya vijana wa kizazi hiki???
Tumpe nafasi tafadhali.Tusimuhukumu kabla ya wakati kwani naamini anaweza kufanya yale anayopaswa kufanywa!!
UONGOZI NI KIPAJI,ELIMU NI MATUMIZI NA VILEVILE HAINA MWISHO,DADA AMINA HAKUNA SHULE YA UBUNGE ZAIDI YA KWENDA BUNGENI.
ReplyDeleteKWA NINI TUNAPENDA KURUDISHA NYUMA MAFANIKIO YA WENGINE?HATA MIMI NATAMANI NINGEKUWA MBUNGE KAMA YULE MSEMA OVYO ANAVYOTAMANI,LAKINI TULILALA MCHANA TUKAAMKA USIKU.
TUJIFUNZE KUSIFU KIDOOOOOOGO!
jamani mpeni nafasi huyu binti ndio muje kwenye conclusion nyie wabongo mmezidi angekuwa mzee mngesema anasinzia bungeni acheni wivu na chuki tizameni matokeo huyu mtoto ni mchapa kazi na mwenye huruma!at least kawafundisha kutumia deodorant bungeni manake wabunge wengine wana vikwapa kama choo!!!!!!!!!ok it's me ahlam and ma email is..
ReplyDeleteahlamsaleh150@hotmail.com