wacheza sumo wa kijapani wakionesha namna ya kucheza mchezo huo katika ukumbi wa don bosco jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    Ahsante kwa hii picha.

    Ni vizuri kuona Wajapani wanaonyesha mchezo wao wa Kijadi hapa nchini kwetu.

    Mchezo wa Sumo sio tu unahitaji kutumia maguvu peke yake bali pia ufundi wa hali ya juu unatakiwa. Na wana mieleka wa Sumo wana nidhamu ya hali ya juu.

    Michuzi, kwa mara nyingine pokea shukrani zangu za dhati.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...