mwalimu akiwatambulisha madiba na winnie kwa wabongo waliofurika neshno kumpokea baada ya kusota gerezania miaka kibao...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hapa imekamilika ile methali ya.. 'baada ya dhiki ni faraja'.

    ReplyDelete
  2. Ndio picha tunataka-ga hizi.

    Ila mzee huyu walimtesa jamani tuache utani. Hamna noma Mungu yupo.

    ReplyDelete
  3. jamani winnie mzuri sana. na wewe mwaipopo tunaomba ubadilishe hiyo picha yako ni mbaya unakaa kama unabinuka yaani haikufai inachefua roho fanya hima kuibadilisha.

    ReplyDelete
  4. kweli bwana mwaipopo anacheka tuuu kila saa! mahokaaaaaaaa!meno nje nje! noma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...