mchoro huu umo ndani ya makumbusho ya mwalimu nyerere, butiama. naomba tafsiri yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Anaipenda Tanzania kama Yanga kwa moyo wake woote.

    ReplyDelete
  2. na ameishika kama kioo isije ikaanguka na kupasuka!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2006

    TANZANIA X2 NAKUPENDA KWA MOYO WOOTE!NCHI YANGU TANZANIA,JINA LAKO NI TAMU SANA.NILALAPO NAKUOTA WEWE,NIAMKAPO NI HERI MAMA WEE!TANZANIA X2...................DU!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...