Home
Unlabelled
nyumba sa sanaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi ingawaje huifagilii sana hiyo tai lakini imekutoa bomba
ReplyDeleteHIVI HAYA MABEBERU YANAFATA NINI NCHINI KWETU?MASHENZI HAYA..
ReplyDeleteYAKIRUDI KWAO HAYAONYESHI HIZI PICHA NZURI ZA AFRIKA BADALA YAKE YANACHAGUA MAMBO MABAYA NDIO YANAENDA KUDISPLAY HUKO KWAO MASHENZI MAKUBWA HAYA,
TENA YANA ENJOY NA VINYWAJI VYETU,
YAMESUBIRI MWALIMU AMEONDOKA YANAANZA KURUDI TARATIBU,JAMANI TUWE MAKINI NA HAYA MABEBERU.
paranoia at its best
ReplyDeletekwa kweli ukionesha picha za wabongo wanakula good time, huko makokobichi na maubungo plaza,na hata yale magari ya 4x4 mitaani. sijui kama mabeberu watatoa hata cent moja kwenye hizo charity, kama oxfarm,nk.nk watasema f***K.jamjuah
ReplyDeleteWell, ndugu muhusika wa maoni yako ya kwanza, tafadhali usiwe mshamba wewe au fara au dindiga1! utawaita vipi hawa wazungu mabeberu kwa sababu wanakata kinywaji ktk nchi yetu? wewe si ajabu bado unaosha vyombo vyao na kufagia vyoo vyao huko uliko na sasa unaona hivu watu wanakula nchi ktk bongoland! rudi bongo na wewe utapata kupata ka-nafasi ka kupumzika kama wao......
ReplyDelete