Home
Unlabelled
wabongo stareheni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duhh!!!kweli hiyo ndo bongo Dar es salaam.
ReplyDeleteWatoto wanameremeta si mchezo.Na hapo huwezi kujua yupi mtoto wa geti yupi changu.
Asante michuzi,je huyo aliyevaa sketi fupi(ya draft) kuliko wote ulifanikiwa kuongea nae kidogo????
jamani huyo mwenye kimini steki jamaaani!totozi
ReplyDeleteduh hata mimi na support huyo aliyevaa mini hatari tupu,kuna usalama kweli!
ReplyDeletehuyo anayetabasamu na machuchu nje je?
ReplyDeletejamani nimepata mfazaiko hapa hapa jamani,,,kweli ngoma haiwezi kwisha tutakufa woteeeeeee!
ReplyDeleteDAR DSM!!! sema DARISALAM !!! DAR DSM sema DARISALAMMMMM!!! huyo mnamfahamu ni nani? ni Balozi Dola Soul akiwa na Mr. II! waliishawakilisha yote haya iliyobaki ni kujituma!!! mie pamoja na kukumbana na vituta vya kizulu mtaani bado nakiri dada zangu ni wazuri! sijui inakuwaje haya mambo?? mark
ReplyDeleteumcheki miguu?Hatari tupu
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania
WE MZUSHI, MIGUU GANI? MIE NAONA MIZIWA TU
ReplyDeletehiyo ilovishwa kimini.Unadhani hizo ni ngoko?
ReplyDeleteNamsubiri Mija tu naye aseme yake.
ReplyDeleteLondo
Londo,
ReplyDeleteMwenyewe unaona vitu vinavyojieleza, mimi nitasema nini tena?
Na hapo wamekushushieni vya kizungu, wakikushieni vya kitanzania ndio mtazimia kabisaa!
Acheni upuuzi na mawazo yaliyo machafu.Kaeni chini na kufikiria yale mazuri kwa ajili ya watoto wenu, familia zenu, Vizazi vyenu na ata Taifa lenu.
ReplyDeleteNdio maana Afrika Ukimwi autoweza kuisha kwasababu hauwezi kujua kama binti hawa hawana virusi.
Sio siri mnajiona wajanja kumbe ni Shetani anaye wapa hayo mawazo machafu.Wapendeni watoto wenu, wazazi wenu, ndugu zenu na ata Taifa lenu.
Kaa chini na mtafakari jinsi ya kuleta maendele ktk Taifa hili changa na masikini lenye shida za kila aina ambapo nusu ya budget yake inategemea misaada toka nje, sasa je tukikaa na mawazo hayo machafu tutaweza nchi yetu kuwa ata siku moja kujitegemea kwa kila kitu.Si ndio watu watazidi kufa kwa Ukimwi wakiwemo raia wa kawaida, wasomi, n.k na kuzidi kuzolotesha uchumi wetu.
Najua mtakuwa mmeumia kwa ukweli huu.Acheni mawazo machafu, Mtawaambia nini kizazi chenu baada ya miaka 20 ijayo wakiuliza mbona maendeleo hakuna?
Sasa muanze kuumiza Ubongo kwa yale yenye maendeleo.
Nakuunga mkono ndugu yangu hapo juu hawa jamaa wote ni washamba wa wanawake angalia watu wote kumi na mbili kila mtu duuh!! duuuh!! duuu! angalia maziwa angalia kisketi angalia kile!! kama hamjaona wanawake bwana!! uzuri mloona uko wapi hapo kwenye picha? miguu iko wapi hapo? inaeleke hawa watu wako nje ya TZ na hawawezi kupata wanawake zaidi ya kwenda kwa machangu!! jaribuni kutongoza msiwaogope watu wa nje msingekua na uraro wa namna hiyo!! oneni aibu na mkifanya mchezo machangu watawaua kwa ukimwi!!!
ReplyDeletekumbe walio nje ya bongo wanapata machangu tu? Na walio bongo hawajishughulishi na machangu. Rudini bongo!!!!
ReplyDeleteHiyo ndiyo bongo Dar es Salaam
ReplyDeletekuna tatizo gani kusema hawa mabinti ni wazuri!
ReplyDelete