wazee wetu muhimu nchini hawa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Huyu mweupe kushoto ni nani?

    ReplyDelete
  2. Siyo Komandoo?

    ReplyDelete
  3. Haswaa ndiyo comandoo mwenyewe huyo ambaye bado ni gumzo kwa wana CUF hapa zanzibar.
    Angefanikiwa kubadili katiba nadhani zanzibar kungekua na hadith nyingine katika suala la demokrasia ya vyama vingi.

    ReplyDelete
  4. angeiua angeiongezea mbolea fikrathabiti? mark

    ReplyDelete
  5. madikteka wa kiafrika hao, wala sio sio wazee wetu! wanapenda vimulimuli kama nini na kupita trafiki light.jj

    ReplyDelete
  6. Jamani lakini penye ukweli tuseme ukweli. Dr. Salim alikuwa amepoteza umaarufu kule AU kwa sababu ya kupenda kwake kuwakumbatia waarabu na kusababisha Watu weusi wauwawe darfur, yaani waarabu wanawauwa weusi na kuwanyanyasa! mimi huku nilipo ughaibuni niko na jamaa zangu wapiganaji wa SPLM walikuwa wanamlani sana huyo jamaa na walikuwa wanafuatilia sana maendeleo ya mchujo wa uraisi na niliwahakikishia katika CCM hakuna makunyanzi mengine ni JK tu walikuwa wanafarijika! siku ilipotangazwa JK kapita kwenye mchujo ilikuwa ni hakuna kulala!

    Salim yeye aliukuwa kazi yake ni kusikiliza Gaddafi na warabu wanataka nini, halafu wanatukandamiza weusi. ndio maana alipoachia Gaddafi hakuamini! si mnakumbuka juzi eti Gadafi anasusia mkutano wa AU sudan kisa waafrika walikataa kumpa mwarabu Omar Ali Bashir kiongozi wa Sudan anayeua weusi wa kusini ukuu wa AU? utampaje heshima kubwa hivyo muuaji? huyu jama angepata ukuu wa nchi tungetengwa sana...

    mzee Malechela anyway ninachosema ni kuwa ni mvumilivu sana na anajitahidi sana suala la busara linapohitajika! nitamtafuta siku moja nimsalimie maana kipindi sasa!

    huyo komandoo vurugu nyingi tu...tatizo ni kuwa alichoshindia ni ujeuri labda zaidi ya uwezo (komandoo). wasingemtibua Seif angemake raisi mzuri zaidi wa visiwa ila si unajua tena chama kubwa? wakamzushia (mizengwe) ikabidi aingie machakani! halafu anapenda sana madaraka...nakumbuka hotuba zake za asubuhi maana huyu jamaa kazi yake ilikuwa ni siasa na sio kufanya kazi!! alimfunda na marehemu dk Omari hivyo hivyo! asubuhi SMZ ilikuwa inatoa hotuba za raisi wa visiwa nanukuu kipande! "raisi nani bwana raisi anajulikana. tuna raisi mmoja tu wala asikudanganyeni mtu! raisi mimi bwana kila ninapokwenda toli toli mbele!! toli toli nyuma!!". ndio maana ile nchi imebaki magofu hakuna mpya. ili Wazanzibar wafike inabidi waache tabia za kuchagua wana mipasho na masultani kuongoza! sijui hawamuoni JK anavyopiga mzigo?? na hata siku moja hutakaa usikie anapiga politiki, au anazunguka na mashati ya kijani kwenye kazi zake za uraisi!

    suala ila ni kumaindi toli toli

    ReplyDelete
  7. Tunamsifia sana JK. Ni mapema mno jamani. Atapasuka bichwa.

    ReplyDelete
  8. ni kweli kabisa, tumpe JK hata miaka miwili mitatu ndio tuone kazi yake,bado yuko kwenye honeymoon!-jj

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 15, 2006

    MZEE WETU MALECELA YUPO WAPI JAMANI?KUNA MTU ANA HABARI ZAKE?MBONA AMETUCHUNIA HIVI WATANZANIA?SI TUNAFUATA WOSIA WA BABA JAMANI!POLE MZEE,USIJALI SAAANA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...