dansa wa twanga pepeta aisha fikiri madinda mzigoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. huyu dada kwa kunengua ni noma jamani tuache tuu.
    anaijua sana kazi yake na kuifurahia.

    ReplyDelete
  2. Hivi kumbe bado anatumia Aisha fikiri Madinda... mbona nilisikia vinginevyo? Tafadhali Wenzangu nisaidieni kama mna fununu zozote

    ReplyDelete
  3. sio kweli bado ni mke wa fikiri madinda

    ReplyDelete
  4. mamaa aisha si mchezo

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 18, 2006

    JAMANI,HAKUNA WA KUMTUKANA AISHA BLOGU NZIMA?MMEOKOKA?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 19, 2006

    Hakuna,huyu mtoto bomba,ni kazi tu hiyo!ana adabu zake huyo,hana dharau wala maringo ya kijingajinga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...