mmoja wa washiriki kwenye shindano la kumsaka miss twanga pepeta majuzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. nani alichukua ushindi?

    ReplyDelete
  2. Umbo la huyu dada halipendezi mavazi ya mamiss!!!

    ReplyDelete
  3. miguu yake imependeza

    ReplyDelete
  4. MIGUU YAKE NDIO IMEPENDEZA NA UKIMWI UMEPENDEZEWA NA WEWE SASA UPO TAYALI WAJAMENI.UKIMWI WAJAMENI HAUCHAGUI MTU ATAKUWA MNENE, MWEMBAMBA, MZURI, MBAYA WOTE WANAKUMBWA NA UKIMWI.CHUNGA ROHO ISIJE IKAKUPONZA NA UKABAKI KILO MOJA.

    ReplyDelete
  5. umbo lake halipendezi mavazi ya kimiss, kwani yeye kakuambia ni mrs?

    ReplyDelete
  6. tuwekee picha za washindani walio wengi, na ni nani kashinda?

    alafu mamaa mingoi yuko wapi sikuhizi maana yule ni noma kwa kunengua haijawahi kutokea

    ReplyDelete
  7. Jamani hii balaa sasa, Michuzi naomba kama unayo 'snepu' ya mshindi yule dada mdogo mtangazaji ambaye kajaliwa nanilii!!!Isaac Mgwasa

    ReplyDelete
  8. http://photos1.blogger.com/blogger/6278/2258/1600/Kita%20ngoma.jpg

    Kong'oli hapo uone kwa ukubwa wake.

    88.4 clouds fm ndio yenyewe kwa kumwaga nyuki. yupppppppppppppppppppppppppppi.

    ReplyDelete
  9. Huyu kwa ulaya wazungu wasingemshika ata kwa kidigo cha mwisho...wakiofiakuwa ni mgonjwa wa unene! lakini kwa wabongo wanaopenda matendeni eti ni mali????

    ReplyDelete
  10. kwa kuwa utumwa wako wa kiakili unakutuma kuguswa na mzungu ndo kuwa na thamani endelea hivyo hivyo.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 13, 2006

    WAZUNGU NI WAGONJWA JAMANI,TUSIWAFANANISHE NA SIE BINADAMU.UTAJIRI WAO USITUFANYE TUDHARAU VYETU!VYAO NI VYAO NA VYETU NI VYETU.SIPENDI MIE KUTUKUZA WAZUNGU JAMANI!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 19, 2006

    ngozi nyeusi ni rasilimali asikudanganye mtu!Wazungu tunawakimbilia kwa sababu tu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...