lady jd akiwa na bendi yake ya machozi. majuzi msanii huyu amefiwa na baba yake mzazi. jina kamili la huyu dada ni wambura judith daines (jd) isambai mbibo. wambura ni jina lake yeye si la baba yake kama wanavyodhani wengi. kanambia alipewa na bibi yake ingawa wengi wanamwita judith wambura.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Rambirambi kwa Lady JayDee. Mungu ampe mguvu na uvumilivu.

    ReplyDelete
  2. mungu amsaidie uvumilivu

    ReplyDelete
  3. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...