una khabari kwamba bungeni hupia meza na sio makofi pindipo wahishimiwa wakinogewa na mada?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Safi sana siku hizi ata hawasinzii au walijua Bwana Shemeji unawapiga picha? Na ndio wakaamka toka usingizini?

    Hiyo mikono baada ya miaka mitano si itaota sugu kabisa?

    Au kila mara hivyo vijimeza si vitakuwa vinatengenezwa maana vitachoka mapema kwa kugongwa gongwa!! Kwanini wasiwe kama mabunge mengine wakawa wanatumia desturi nyingine maana hizo hasara nani atalipa si ndio yule mwananchi wa Nachingwea na mikoa mingine atalipa kwa kutoa kodi?

    Ninauhakika watakuwa wameupata ujumbe.

    Wasalime wote hao ni marafiki zangu wa siku nyingi.

    Kwa leo nabaki Anonymous.

    ReplyDelete
  2. Mimi ninamuona yule mama watatu toka huyo Baba wa kwanza amesinzia. teteteh. Hawaachi katabia kao maana sijui walienda kulala au kutetea haki za mtanzania?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...