Home
Unlabelled
msimbazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kumbe michuzi simba...haaa mpinzani ingawa naipenda blog yako.
ReplyDeleteInanikumbusha enzi za kwenye kwenye game asubuhi, hii ilikuwa simba na yanga nini?
ReplyDeletekaka michuzi...mimi najua wewe ni yanga ila hapa kwenye club ya wenzetu simba mbona umewaonea kwa kuipamba na washabaki wa yanga.naamini kaka una picha ambayo ingeweza kuonyesha simba nyekundu....fanya vitu vyako.Imani kondo....zemarcopolo@yahoo.co.uk
ReplyDeleteSimba wachovu. Ona jengo lao.
ReplyDeleteMsitukane timu za watu, wenyewe tunaipenda
ReplyDeletewakati nyumba hii inajengwa ilikuwa timu ya kwanza africa yenye makao ya ghorofa, lakini wizi/ufisadi/ubadhilifu ndiyo imerudisha kila kitu nyuma, serikali ndiyo usiseme ufisadi bado unaendelea
ReplyDelete