mojawapo ya vikao vya chama ambapo bwm ametangaza kuachia ngazi ya uenyekiti apumzike

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. aachie ngazi ili kikwete apewe uenyekiti na awe na nguvu ndani ya nchi na ndani ya ccm? kweli huu ni upuuzi wa siasa za kiafrika. nchi nyingine utakuta kiongozi wa nchi sio kiongozi wa chama chake na hii inasaidia kufanya maamuzi mazuri ndani ya nchi na ndani ya chama anachotoka.

    ReplyDelete
  2. Hayo ndiyo matatizo ya zidumu fikra sahihi. Ukishakuwa Rais nchi maskini wewe peke yako ndiye mwenye akili. Utalundikiwa vyeo mpaka vingine usikumbuke kuwa unavyo.

    ReplyDelete
  3. hii inaonyesha jinsi siasa za bongo zilivyojaa uzinifu.ndio maana wachambuzi wasiasa bado wanafanisha siasa yetu na ile ya kichina.jamjua

    ReplyDelete
  4. Bila ya wale wenye mawazo ya kizamani kuondoka JK hata afanyeje CCM itabaki ileile mbofumbofu.Mambo ya INAWENYEWE sasa stop.

    ReplyDelete
  5. Shwari tu aende akapumzike che-Nkapa.

    ReplyDelete
  6. Ndiyo matatizo ya "banana republic" kama Tanzania. Wote hapo juu ni wezi tu hamna cha nini wala nini!!! Haswa Mkapa, ingebidi ashitakiwe kama Chiluba wa Zambia huyo kibabu!! Jambazi mkubwa!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...