msafiri diouf wa twanga chipolopolo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Hivi huyu ni mtoto wa watu nini? Isaac Mgwasa

    ReplyDelete
  2. watoto wa baresa wanakula mzigo huu.chakula hiko.

    ReplyDelete
  3. hahahah wewe acha matusi diouf unatisha baba umependeza sana

    ReplyDelete
  4. huyu mwanamke au mwanaume?

    ReplyDelete
  5. Hivi kuna Transvestites bongo siku hizi?

    ReplyDelete
  6. Jamaa utasema pacha wa Jay Dee!

    ReplyDelete
  7. joji miko huyo, natoa kinyesi kinoma

    ReplyDelete
  8. Wacha matusi wewe mpumbavu, utasemaje mambo ya kinyesi hapa

    ReplyDelete
  9. kweli kabisa jamaa pumbavu sana huyo ndo mabasha yenyewe hayo kinyesi cha nini hapa, hana adabu.

    ReplyDelete
  10. we kinyesi sio tusi, mbona wee unatoa kinyesi kila siku, inamaana unafanya matusi?

    ReplyDelete
  11. mjinga mkubwa wewe, kazi kuwaza uchafu ndo nyie mlionajisiwa toka mkiwa wadogo mpaka sasa uchafu unazidi kujirudia kichwani kwako.

    tafadhali tafuta ushauri wa daktari na suluhisho usaidiwe matatizo yako maana huu ni ugonjwa.

    ReplyDelete
  12. huyu msaniii jamani? mbona hivyoo? martin lawrence akivaa hivyo mtasema msaniii, mara namjua hata mke wake? .... diouf kavaa maneno mengii lakini sasa na wewe diouf ulimwazima lwiza hiyo?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 13, 2006

    WAKINA ANOLD,VAN DAME,CRUSE WAKIVUA NGUO MNAWAIGA ETI KWA KUWA NI WAZUNGU NA WANA AKILI NA VYA KWENU MNAKANDIA,HOVYOOOOOOOOO!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 19, 2006

    Diof mziki anauweza,kasoro ulevi wakati wa kazi.akiacha hako kaugonjwa,atakuwa mtoto wa MUNGU!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...