si ma white lincoln pekee yaliyo bongo na ya bongo. hata hili tunalo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Spea za gari kama hili utapata wapi mjomba!?

    ReplyDelete
  2. si ndo yale mengi yanatangazwa ni ya wizi? kama hao wajomba masawe na wengine waliokamatwa? yanaibwa south hayo na kuuzwa kwa wadosi au mtu yeyote pesa yako.wasema wataka gari gani na wajomba wanakuletea kesho yake.

    ReplyDelete
  3. bilicanas imechoka...

    ReplyDelete
  4. gari gani hizi japan na china zinauzwa kama pipi na bei ya chei.

    ReplyDelete
  5. makina massawe wezi sana

    ReplyDelete
  6. smart sana endelea kutanua msela...wabongo anonymous waoga kutaja majina yao coz they are full of sh*t, wao hawana..we unalo ...mdomo tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...