Home
Unlabelled
dayamondi jubilii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni kweli kabisa Bw. Michuzi. Mimi nilifikiria ni ghala f'lani hilo kumbe ndiyo Dayamondi Jubilii yenyewe, Mungu wangu! Hebu angalia vile vidirisha vya vidirisha vya ventilation kule kwenye background utafikiria godauni la Bhakhresa.
ReplyDeletekama pachafu vile,mie nilidhani kariakoo shimoni.
ReplyDeletehii kweli kabisa napaona pachafu, tukishakaa huku nje muda mrefu tunaanza kuona nako kwa kawaida kasheshe inaanzia pale unaporudi bongo na kuoinganisha kuona kila kitu mess!!! mh lakini poa tu nyumbani ni nyumbani tu Mungu tusaidie tupe maisha ktk kipindi cha miaka mitano mambo yatakuwa shwari watz.
ReplyDeletediamond wamesharudisha mtaji zamani tu lakini walau wafanye ukarabati hamna kitu. We ngoja tu, kuna watu kibao nakuja kuwalaza njaa bongo!
ReplyDeletewacha majisifu ya maneno ya kipuuzi wewe riziki hupangwa na mungu, umlaze mtu njaa wewe umekuwa unatoa riziki? kama unataka kufanya jambo fanya angalia maneno yako usije wewe ndo ukalala njaa.
ReplyDeletemaneno ya kutaqabal mungu hayapendi hicho ni kibri, na kibri ni sifa ya mungu pekee mwanadamu hapasi kuwa nayo.
omba mungu akuondolee tatizo hilo kwani hilo ni kubwa kuliko.
wacha ushamba wewe watu hawatangazi posa, inayotangazwa ndoa. etu ulaze watu njaa.
ReplyDeleteni wewe mwaipopo tuu au makene ndio mnaweza kuongea maneno haya ya kulaza watu njaa.
ReplyDeleteNi payback. Wamekula vya kutosha lakini waulize kama waliwahi kumruhusu mtu atumie ukumbi free, au hata kwa discount. Hii ni sauti ya wanyonge. Si muda mrefu vijana wa kitanzania watapata mkombozi. Na wadosi wanaolaghai na kuwanyonya vijana dawa yao inakuja vilevile.
ReplyDeleteHii picha kama vile soko la watumwa.
ReplyDeletekweli kabisa inakaribisha huzuni sana picha hii.
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeleteMimi nina kijiswali. Hawa watu wanajichana ilikuwa ni sherehe ya harusi au nini? Na kama ni harusi ilikuwa ni ya nani?
Ahsante kaka.
But You have to wonder, the only place in Tanzania that can carry so many people for dinner... in a table/chair setting.
ReplyDeleteEven Canada doesn't have that huge a banquet hall...
And then again - this Hall is not always used for Dinner... but for indoor sports activities and trade-shows.