kumbe bongo kuna ulinzi kama majuu, angali kofi anavyolindwa.mwenye suti njano ni promota wake kayembe tche ntemba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. fbi gani hao zikipigwa risasi kila mtu ana wai maisha yake.wanakula tu pesa zake.hao wanaitwa MVP

    ReplyDelete
  2. Kaka anony tufafanulie wale tulioko ughaibuni MVP ndo nini?

    ReplyDelete
  3. We kinakuuma nini? Kama umekasirika kasage chupa unywe basi...

    ReplyDelete
  4. MVP ina maana ya Wapambe wa karibu wanaomsaidia kila kitu hii ikijumuisha manager wake.yaani kila kitu na wanakuwa karibu na super star kila anapokwenda.Most Valuable Players

    ReplyDelete
  5. hiyo suti sio njano michuzi,

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2006

    KOFI WANAMLINDA WA NINI?NAYE SI MTEMBEZA MKONO?AU ANAWAONEA WAANDISHI WA HABARI TU!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...