profesa marjorie mbilinyi na mumewe profesa simon mbilinyi wakiwa kwenye hafla

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. hivi huyu mzee sasa hivi yupo wapi na anafanya kazi gani?

    ReplyDelete
  2. they look so brilliant.good to see them.

    ReplyDelete
  3. huyu mzee ni mla rushwa, akajifanya kukanusha ,mwishowe akajiuzulu yeye na mporogonyi.anatakiwa kujibu mashitaka huyu, kama kweli serikali imeamua kuwamaliza.jamjauh

    ReplyDelete
  4. Sasa huyu Mama ni mzungu lakini ni mzalendo haswa huyu Mama. Mara nyingi huwa anatoa mifano na kujiweka kama "sisi" kwa maana sisi Waafrika au watanzania hii inatuchanganya sana sisi wengine wenye mitizamo PAC ( Pan African Congress) Sijui siku tutakapokuwa tunafagia hawa Wazungu utamweka wapi mtu kama huyu au mtu kama Bram Fischer??!! Lakini haina nma tukifika madaraja hayo tutajua jinsi ya kuvuka kwa kamba au kuogelea.

    Mungu Ibariki Afrika

    Ali Pembe - Gomigo

    ReplyDelete
  5. KAMA KWELI ANAPENDA BONGO MBONA AKUMSHAURI MMEWE ASIPOKEE RUSHWA? MPKA KUFUTWA KAZI.SIJUI KUJIUZULU! jAMJUAH

    ReplyDelete
  6. Ni mmongo jamani nyie wenyewe huko ughaibuni mnajipendekeza kujifanya wazalendo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...