jk akisalimiana na mfanyibiashara saidi salim bakhressa kwenya hafla moja ya hisani kabla ya uchaguzi mkuu uliopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ndio, jukumu lao wafadhili lilishakwisha, baada ya JK kuingia ikulu, sasa ni mkao wa kula tu.

    ReplyDelete
  2. ehe bwana hawa watu wanachangia mamilioni ya pesa ili wapate green light.mambo yanajulikana lakini thubutu kutoa kauri watakumaliza wewe pamoja na kafamilia kako.

    ReplyDelete
  3. JK ukiwaendekeza hao na ufadhili wao wa kidizaini shauri yako!nawewe jina lako litafutika kwenye akili za watu siku 100 baada ya kuondoka madarakani kama .....Si unaona mwezio kasahaulika wao biashara zao mbele kwa mbele.

    ReplyDelete
  4. wezi watupu hao.huyo kikwete isingekuwa vyombo vya habari vya rafiki yake hakuna angemjua we huoni kila siku ippmedia.com unakuta jk, jk kila siku jk au lowasa ata shein wanamsahau.ipp na mengi wanajikomba kwa kikwete.wezi wakubwa hao.hakuna wanacho fanya zaidi ya kupaliliwa sifa.cheap publicity for nothing.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...