
2 eyez wakiwa kazini. hawa vijana awali walikuwa wanafanya kazi dtv na channel ten, wakaunganisha nguvu na kuunda kampuni ya filamu na video iitwayo two eyez. na ni washindi wa video bora za muziki mara tatu mfululizo. tatizo wana vifaa duni na vichache, pia ujuzi wao ni wa kishkaji. hivyo shime mnaotaka kuwekeza bongo watafuteni watu kama hawa. wanapata sana tenda kubwa kubwa, ila ndo hivyo. pichani ni 2 eyez anwar saidi (kamera) na frank mtao (prodyusa) wakimhoji juma necha kwa ajili ya video maalum
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...