Home
Unlabelled
madenti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Na kweli Nyerere alisema akifa watu watamkumbuka!
ReplyDeleteLakini kwanini serikali isiwape tu hawa ndugu zangu pesa yao yote ya mwaka kwa mara moja!? Kwasababu, kila inapofika muda wa kupewa hizo pesa hazitoki hadi kwa migomo na vikao!! Tutafika kweli?? Revd MP
ReplyDeleteWaaaambie waambie waaambie hao, wamezoea sasa kujenga mahekalu tu.
ReplyDeleteNyuma ya migomo kuna mambo mengi!
ReplyDeleteSerikali ama baadhi ya vibaraka chuo wanajaribu kupotosha madai ya msingi ya wanachuo. Hoja ya wanafunzi waliokuwa private kuondolewa posho kwa ajili ya mafunzo ya vitendo ni ubakaji wa haki yao lakini vile vile ni ukiukwaji wa sehemu ya mkataba ambao wanafunzi wameingia na serikali kupitia Bodi ya Mikopo...Cha kusikitisha ni kwamba badala ya kutafuta suluhu, serikali itatumia ubabe na kukifunga chuo Jummanne 2 Mei majira ya saa nane
Naibu Waziri alishasema kuwa "Mikopo sio haki yao bali ni msaada tu wa Serikali, hivyo kwa kugoma wanazidi kuichefua serikali"
ReplyDeleteMmhh! Kweli shida kusoma bongo.
ReplyDelete