mama maria na mzee ruksa wakiteta jambo. hii ni kabla ya ajali kule afrika kusini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. mzee ruhusa naona nembo yake ya ukimwi hakuisahau.safi sana....aisee michuzi una picha ile ya malcolm x na nyerere na kwame nkurumah?............zemarcopolo!

    ReplyDelete
  2. nani anajua mzee mwinyi amezaliwa lini na mzee kawawa amezaliwa lini?

    ReplyDelete
  3. michuzi unaamaanisha nini kuhusu hii picha ni kabla ya ajali kule south umeniacha? nani kapata ajali?

    ReplyDelete
  4. anonymous wa 1:oo PM rais mstaafu mwinyi alipata mini ajali nchini sauzi,gari lake na la mstaafu wa ghana yalikunana.kidogo tu lakini.mzee ruhusa alipelekwa hospitali na kukutwa yuko fiti..hizi mimi huwa nazipata kwa www.ippmedia.com !..............zemarcopolo!

    ReplyDelete
  5. Mzee Mwinyi alizaliwa May/08/1925,huko Zenji na Mzee Kawawa alizaliwa Sep/11/1926 huko Ruvuma

    ReplyDelete
  6. Mzee Mwinyi alizaliwa Bara (Kisarawe).

    ReplyDelete
  7. Kivure, Kisarawe actually May 8, 1923.

    ReplyDelete
  8. http://www.kikweteshein.com/tanzania/articles/45/3/Former-Presidents

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 03, 2006

    kuna mtu kachapia mzee Mwinyi alizaliwa kisevule wilayani Mkuranga mwaka 1925 tarehe sijui maana wenyewe wanajua ni mambo ya mfungo ngapi ndo wanavyopima kule pwani kuhusu RMK yeye kazaliwa Liwale na kukulia Bomba mbili huko Ruvuma mwaka wa 1926 kiumri RMK ni mdogo kidogo kwa Ally bin Hassan na katika chama lao mkongwe ni Mzee Abood Jumbe ambaye kazaliwa 1920 pamoja na Chifu Abdallah Fundikira wabongo wa Mwanzoni kupita pale Makerere Uganda hata Julius Nyerere aliwakuta hapo natumai nimewapatia historia vijana OK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...