niko na masela wa kibongo wanaokula mzigo kama madereva na waongoza watalii huko dubai. wengi wao wametoka zenji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Bila shaka kabisa hao ni Wazanzibar pyua. Huyo wa pili ukimwangalia utafikiri Kassim Issa yule mchezaji wa Mtibwa sukari.

    ReplyDelete
  2. waosha magari hao wamekimbia vita kwao eti, wanapenda dezo hao, utakuta washajilipua mpaka huko.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...