
hapa nampatia miss photopoint photogenic 2005/2006 natali noeli hundi ya 500,000/- kwa kuibuka mshindi wa shindano hilo ambalo kakampuni ketu kanadhamini. huo mwavuli una nembo ya kijikampuni chetu. mwaka huu kampuni ya photo point inadhamini vitongoji vinne vya dar na kuongeza dau la udhamini kwa miss photogenic 2006/2007


Endeleeni na moyo huu Michuzi.Kesho na keshokutwa nyie ndio wadhamini wa Miss World..Kila la kheri
ReplyDeleteEe bana Michuzi lini utagombea ubunge? Sijawahi kupia kura maishani lakini siku ukitangaza kugombea kura yangu unayo!!
ReplyDeletemichuzi umelegea vipi, kulikoni nini? nyege za gafla kazi?
ReplyDeletehizo zipo sana tu, wala sio wewe tu watu kibao zinawakumba.hata mimi zinanisumbua sana,dawa yake ni kwenda chooni na kunyetuka chapchap, kuwanki waghaibu wanasema.M-Dallas
Huu ujumbe ni serious na sio kwamba nakutania wala kukupotezea muda wako. Michuzi unataka parteners ktk hiyo Kampuni yako? Kama umeusoma huu ujumbe naomba nijibu kwa kunipa address zako niweze kuwasiliana na wewe na kupanga zaidi mikakati ya kuingia makubaliano. Mimi nipo nje ya nchi ila naweza kuwasilishwa na familia yangu ipo Tanzania (yaani watakuwa kama proxy) lakini capital (funds) zitatoka kwangu.Nitafurahi kusikia toka kwako. Kazi njema.
ReplyDeleteKitonga said...
ReplyDeleteMichuzi huyu miko ananiuzi sana sijui katokea wapi kwenye blogu yako ya kupendeza lakini ipo siku tutampata