miss twanga 2006

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nashukuru sana Michuzi. Isaac Mgwassa

    ReplyDelete
  2. Ulegi wa dada umeenda shule!

    ReplyDelete
  3. Bw. Michuzi,

    Vigezo vya kuchagua Ms Twanga vilikuwa ni vipi? Isije ikawa ni kuwa bingwa wa kunengua kama Lilian Internet!

    ReplyDelete
  4. naam. vigezo vilikuwa kunengua twanga pepeta, na si jingine. huyu dada, lulu mathias, alishinda hako kagali. shindano liliitwa manywele (mdhamini) twanga pepeta dancing contest. hivi sasa lulu na wenzie, waliokuwa washindi wa pili na watatu, wameunda kundi liitwalo manywele sisters, na kazi yao ni kukodishwa kunengua popote utakako, mradi dau. leo usiku wamekodishwa bilikana na nyuki dj. ajira tayari. si uhuni. na hii ndo bongo ya sasa! nchi ya opportunities (kiswahili chake ndesanjo anajua)

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 16, 2006

    upumbafu mtupu,miss manywele ndo nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...