
saidi mohamed wa ngamba a.k.a mzee small ni mchekeshaji mashuhuri nchini ambaye sasa anaendesha kundi lake la ngoma za asili. huyu bwana, pamoja na kuwa na kipaji kikubwa, bado ni hohe hahe kwa kukosekana kuendelezwa kwa namna inayofaa na mapromota wa kweli. ni hazina kubwa ya taifa kama ilivyo mista biin, pita selaz n.k. hivyo uwekezaji jamani usiishie kwenye nanihii tu, hata hawa watu wanalipa.
ma promota wamekazana na mashindano ya umisi, mpaka Rais na mama wa kwanza nae kakolea. mshauri JK apige naye picha ikulu, shujaa wa kweli huyu.
ReplyDelete