saidi mohamed wa ngamba a.k.a mzee small ni mchekeshaji mashuhuri nchini ambaye sasa anaendesha kundi lake la ngoma za asili. huyu bwana, pamoja na kuwa na kipaji kikubwa, bado ni hohe hahe kwa kukosekana kuendelezwa kwa namna inayofaa na mapromota wa kweli. ni hazina kubwa ya taifa kama ilivyo mista biin, pita selaz n.k. hivyo uwekezaji jamani usiishie kwenye nanihii tu, hata hawa watu wanalipa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ma promota wamekazana na mashindano ya umisi, mpaka Rais na mama wa kwanza nae kakolea. mshauri JK apige naye picha ikulu, shujaa wa kweli huyu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...