najidai hapa na nancy na dadaake jumamosi usiku kwenye fashenshoo ya mustafa hasanali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. huyo Nancy alikuwa na rangi ya ngozi nzuri tu zamani, lakini kama ameanza kutafuta weupe namna hii, mimi najiuzulu kumtamani.
    -BwanChaz

    ReplyDelete
  2. hivi mi nauliza hawa ni mabondia kutoka wapi alafu inaelekea wanafanya mazoezi hao ebu cheki mikono na misura.

    ReplyDelete
  3. We Michuzi we mwana mwee! mbona unapenda sana mabinti acha hizo, utakufa shauri zakoooooo

    ReplyDelete
  4. huwezi kujua huyo jamaa wa play boy labda ana ngoma.

    michuzi anapenda sifa si ameona wabongo wanapenda ngono na starehe basi kila siku ataweka picha za nusu uchi kama si nusu uchi basi wanawake tu mpaka tuseme we ndio waona anabadilika.ameona mwanamke ni chombo cha starehe au kuanika wazi.we angalia brogi yake kuanzia miezi ya nyuma mpaka sasa ni wanawake tu utadhani wake zake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...