jk na rais pierre nkurunzinza wa burundi aliyehudhuria kikao cha istiafrikamashriki arusha ambapo burundi na rwanda zimeomba zijiunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. burundi ni nchi tajiri kuliko bongo.mrubdu anakipato zaidi ya mtanzania.JK anaomba ushauri wao hapo, wanafnyaje mambo yao yanafanikiwa.

    ReplyDelete
  2. Kumbe jamaa hao wameanza mawasiliano!Lakini hiyo haimanishi kwamba wana uwezo wa kufuta umasikini hata kama. Nadhani hawatakua mababe na kutaka kutawala milele kama ule mzee kichaa Kibaki wa kenya!

    ReplyDelete
  3. aha jamaa kama huyo wa kushoto au mtu kama kagame ugopa sana ukiwa raisi watapanga mipango ya kukuangusha au kukuua kama afanyavyo museveni ktk baadhi ya nchi. ni wakuangalia sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...