hapo nafungwa cheni ya dhahabu na mpambe wangu kabla ya mashemeji hawajaniruhusu kula solo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. michuzi sijaelewa nini chaendelea hapo?

    ReplyDelete
  2. mimi nilidhania mashababi wawili wanafunga ndoa! Unajua tena karne ya 21 hii.

    ReplyDelete
  3. Michuzi nini hii umetuacha wengi hebu tufumbulie nini kinaendelea hapo tafadhali

    ReplyDelete
  4. Mzee.....eeehehehehe! mbona inakuwa ngumu sasa kuelewa. Madume ya nyani mawili kufungishwa dhahabu miguuni. NINI HII, au kunajambo hatujui. Aksante na sahani sana.

    ReplyDelete
  5. Humu hata iwekwe picha gani itageuzwa na tu. Lile wazo lako la kufunga site hii lilikuwa na maana.

    ReplyDelete
  6. Samahani itageuzwa "maana".

    ReplyDelete
  7. sheikh omar. soma hadithi hii, utaelewa....

    mjukuu: babu, babu, ati ni kweli senene ukiwatia kikapuni na kukiacha kikapu wazi hawaruki?

    babu: ni kweli mjukuuu wangu

    mjukuee: ha! kwa nini babu?

    babu: kwa sababu wabongo wengi ni kama senene.

    mjukuu: kama senene? mbona sielewi?

    babu: ni vigumu kuelewa endapo utaangalia kijuu-juu. lakini ukiangalia kiundani utaelewa.

    mjukuu: babu, bado umeniacha..

    babu: ni hivi...senene hawaruki toka mle kikapuni sababu kila anayejaribu kufanya hivyo, huvutwa chini na wenzie, ambao wanafanya hivyo bila sababu; vinginevyo wangetoka wao... ndo maana huna haja ya kufunika kikapu cha senene. hakuna ataetoka...

    mjukuu: sasa senene na wabongo wengine unaowasema wanakujaje hapa?

    babu: kwani we husomagi maneno mengine kwenye blogu hii...


    mwisho wa hadithi

    ReplyDelete
  8. madume ya senene hayo yanafungishwa ndoa,yakitoka tu hapo yanakwenda vutanavutana kitandani.

    ReplyDelete
  9. Michuzi,

    Naomba nikuombe kwa radhi kwa niaba ya watu ambao ni wastaarabu katika hii blogu ! kwanza napenda kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya kusema ukweli unanifanya nijione ya kuwa niko Tanzania kutokana matukio mengi unayoyatoa !

    Hawa watu wasikuumize kichwa ni wajinga wachache tuu na wala mawazo yao sio mawazo ya wanablogu wote ! Achana nao, They are just loosers , don't even bother to explain anything to them !

    ReplyDelete
  10. Kwa kweli inasikitisha kuona kwamba watu wanaweza kushindwa kujiheshimu kwa kiwango hiki.

    Bwana michuzi kwa nini usiweke filter ili uaprove kila kinachoandikwa humu? Hawa anonymous wanakera!

    ReplyDelete
  11. hahahah.. aroo kipepeo umenishekesha sana hahaha

    ReplyDelete
  12. naona blog imekuwa nzuri sasa tangi wale masenene wakuu makene na wenzake wastukiwe na wameingia mitini, wale ndio walikuwa wanachafua humu, wanakera sana. tena hatuwataki tena humu, waende kwenye brogu ya darhotwire huko kwa jinga wenzano.

    ReplyDelete
  13. Aroo, huyu bwaya naona kafanana sana na shemeji yake Michuzi. Lazima atakuwa ndiyo yeye. Ngoja tumuulize bwaya - ee bana utuambie ilikuwaje usiku ule maana watu wamemuuliza Michuzi badala ya kutoa majibu ya maana anatuletea stori za masenene

    ReplyDelete
  14. JAMANI JAMANI NDUGU ZANGU WAKUBWA NA WADOGO NAWAOMBA TUWEZE KUTUMIA LUGHA ZILIZO NZURI NA TUWEZE KUTUMIA HII TECHNOLOGY KUWEZA KUELIMISHANA NA KUJENGA HII JAMII YA KITANZANIA NA MU-AFRICA KWA UJUMLA.

    MIMI AU WASOMAJI WENGINE HATUWEZI KUENDELEA AU KUPATA MAFANIKIO YOYOTE KAMA TUKIBAKI KUTUKANANA WENYEWE KWA WENYEWE. HII TECHNOLOGY NI NZURI NA NI MBAYA KAMA IKITUMIKA VIBAYA.

    HUDUMA HII YA BLOG ENDAPO ITATUMIKA VIZURI JAMII YOTE YA MTANZANIA INAWEZA KUENDELEA NA KUFANIKIWA MAANA WENGINE MNAWEZA KUFUNGUA BLOG NA KUFUNDISHANA KUHUSU ELIMU, KUHUSU KILIMO, UVUVI AU KUPASHANA HABARI, N.K SASA NAOMBA TUITUMIE KWA MANUFAA MAZURI.

    NARUDIA TENA NAWAOMBA TUWEZE KUTUMIA LUGHA NZURI KWA MANUFAA YETU SOTE PAMOJA NA KIZAZI CHETU CHA SASA NA KIJACHO.

    TUMUUNGE MKONO NDUGU ISSA MICHUZI KWA KAZI ANAYO IFANYA NA KUWEZA KUTULETEA PICHA HIZI MAANA MIMI KWA NAFSI YANGU SIONI SABABU YA NYIE KUMTUKANA, YAPI MAKOSA ALIYO YAFANYA? AU NI KOSA KWA YEYE KUTULETEA HIZI PICHA? KAMA HASINGEKUWA NA BLOG HAYO MANENO MACHAFU MNGEYATOA WAPI? NAWAOMBA TUWEZE KUJIESHIMU NAFSI ZETU NA KUWEZA KUTOA MAONI YALIYO SAHII KTK KUJENGA TAIFA NA JAMII YETU.

    NADHANI SITOKUWA NIMEWAUDHI BAADHI YA WASOMAJI WENGINE, KAMA MTAKUWA MMEUDHIKA KWA YOTE NAWAOMBA MNIWIE RADHI. UKWELI UTABAKI UKWELI.

    MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA.

    NASHUKURU,
    ©2006 MK

    ReplyDelete
  15. kuna tofauti gani kati ya anony na mwaipopo? suala ni kwamba je ana ujumbe unaoheshimika? namaanisha kina anony wote wakiamua kuwa na majina halisi haitabadilisha kitu suala litabaki pale pale kama anamatusi moyoni mwake ataendelea kuyatoa hata akijitambulisha kama ''ISSA MICHUZI''.

    ReplyDelete
  16. bwana bwaya unataka anony wastop na kifanyikie kama ulichofanya wewe kutoa picha yako hapo? sasa nitakuwa na uhakika gani kwamba hiyo picha,jina na ujumbe ni wako wewe ambaye mpaka sasa sijaweza kukutambua?nasikitika kusema leo umeandika maneno ya busara usije shangaa kesho picha yako,jina ambalo unadai lako au ujumbe ukawa vingine na matarajio yako nadhani umenipata.

    ReplyDelete
  17. ha ha ha anony (kipepeo) naye ameandika kashfa jamani??? hili ni jina halisi au anony?

    ReplyDelete
  18. MK ndio nani huyu? eti anataka kujifunza kilimo na uvuvi hapa kwa blog,, ndio atakuwa makene ndio anamawazo ya ajabu kama sio kuandika matusi.

    ReplyDelete
  19. Ebo!!! Kufundishana kilimo na uvuvi kwenye blogu??? Hahahaa, unajua hii mijitu ya kutoka bara ina mawazo ya ajabuajabu.

    ReplyDelete
  20. akili finyu mlizo nazo ndio zinazo wafanya kuwaza hamuwezi kujifunza chchote zaidi ya mitusi. msije fanya michuzi aache kublogi na nyie kuepeleka mitusi yenu majumbani kwenu. asiyelelewa na wazazi dunia itawalea. tuone utafika wapi na hiyo mitusi kama sio kumlisisha mwanao. michuzi endelea na kazi.Ngoi. Texas, USA.

    ReplyDelete
  21. Aisei, Michuzi, what is happening here? Unaoa tena?

    Asante kwa ku-share picha! Na nikfika Bongo nitakuomba unipige PORTRAIT.

    ReplyDelete
  22. Hold on...hold on...hold on..... sasa kaka mirojo haka ndo kamchezo gani? ulipeleka sanduku kwao lakini?? na mahari nayo yalikubaliwa vipi.... nifafanulie kaka kumradhi

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 15, 2006

    MICHUZI,KAMERA ILIYOTUMIKA KUPIGA PICHA HII NI YA KWAKO,ALAFU ULIMPA MTU USIYEMWAMINI ILI AWAPIGE PICHA,UONGO?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...