Home
Unlabelled
siku ya siku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi sijaelewa nini chaendelea hapo?
ReplyDeletemimi nilidhania mashababi wawili wanafunga ndoa! Unajua tena karne ya 21 hii.
ReplyDeleteMichuzi nini hii umetuacha wengi hebu tufumbulie nini kinaendelea hapo tafadhali
ReplyDeleteMzee.....eeehehehehe! mbona inakuwa ngumu sasa kuelewa. Madume ya nyani mawili kufungishwa dhahabu miguuni. NINI HII, au kunajambo hatujui. Aksante na sahani sana.
ReplyDeleteHumu hata iwekwe picha gani itageuzwa na tu. Lile wazo lako la kufunga site hii lilikuwa na maana.
ReplyDeleteSamahani itageuzwa "maana".
ReplyDeletesheikh omar. soma hadithi hii, utaelewa....
ReplyDeletemjukuu: babu, babu, ati ni kweli senene ukiwatia kikapuni na kukiacha kikapu wazi hawaruki?
babu: ni kweli mjukuuu wangu
mjukuee: ha! kwa nini babu?
babu: kwa sababu wabongo wengi ni kama senene.
mjukuu: kama senene? mbona sielewi?
babu: ni vigumu kuelewa endapo utaangalia kijuu-juu. lakini ukiangalia kiundani utaelewa.
mjukuu: babu, bado umeniacha..
babu: ni hivi...senene hawaruki toka mle kikapuni sababu kila anayejaribu kufanya hivyo, huvutwa chini na wenzie, ambao wanafanya hivyo bila sababu; vinginevyo wangetoka wao... ndo maana huna haja ya kufunika kikapu cha senene. hakuna ataetoka...
mjukuu: sasa senene na wabongo wengine unaowasema wanakujaje hapa?
babu: kwani we husomagi maneno mengine kwenye blogu hii...
mwisho wa hadithi
madume ya senene hayo yanafungishwa ndoa,yakitoka tu hapo yanakwenda vutanavutana kitandani.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteNaomba nikuombe kwa radhi kwa niaba ya watu ambao ni wastaarabu katika hii blogu ! kwanza napenda kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya kusema ukweli unanifanya nijione ya kuwa niko Tanzania kutokana matukio mengi unayoyatoa !
Hawa watu wasikuumize kichwa ni wajinga wachache tuu na wala mawazo yao sio mawazo ya wanablogu wote ! Achana nao, They are just loosers , don't even bother to explain anything to them !
Kwa kweli inasikitisha kuona kwamba watu wanaweza kushindwa kujiheshimu kwa kiwango hiki.
ReplyDeleteBwana michuzi kwa nini usiweke filter ili uaprove kila kinachoandikwa humu? Hawa anonymous wanakera!
hahahah.. aroo kipepeo umenishekesha sana hahaha
ReplyDeletenaona blog imekuwa nzuri sasa tangi wale masenene wakuu makene na wenzake wastukiwe na wameingia mitini, wale ndio walikuwa wanachafua humu, wanakera sana. tena hatuwataki tena humu, waende kwenye brogu ya darhotwire huko kwa jinga wenzano.
ReplyDeleteAroo, huyu bwaya naona kafanana sana na shemeji yake Michuzi. Lazima atakuwa ndiyo yeye. Ngoja tumuulize bwaya - ee bana utuambie ilikuwaje usiku ule maana watu wamemuuliza Michuzi badala ya kutoa majibu ya maana anatuletea stori za masenene
ReplyDeleteJAMANI JAMANI NDUGU ZANGU WAKUBWA NA WADOGO NAWAOMBA TUWEZE KUTUMIA LUGHA ZILIZO NZURI NA TUWEZE KUTUMIA HII TECHNOLOGY KUWEZA KUELIMISHANA NA KUJENGA HII JAMII YA KITANZANIA NA MU-AFRICA KWA UJUMLA.
ReplyDeleteMIMI AU WASOMAJI WENGINE HATUWEZI KUENDELEA AU KUPATA MAFANIKIO YOYOTE KAMA TUKIBAKI KUTUKANANA WENYEWE KWA WENYEWE. HII TECHNOLOGY NI NZURI NA NI MBAYA KAMA IKITUMIKA VIBAYA.
HUDUMA HII YA BLOG ENDAPO ITATUMIKA VIZURI JAMII YOTE YA MTANZANIA INAWEZA KUENDELEA NA KUFANIKIWA MAANA WENGINE MNAWEZA KUFUNGUA BLOG NA KUFUNDISHANA KUHUSU ELIMU, KUHUSU KILIMO, UVUVI AU KUPASHANA HABARI, N.K SASA NAOMBA TUITUMIE KWA MANUFAA MAZURI.
NARUDIA TENA NAWAOMBA TUWEZE KUTUMIA LUGHA NZURI KWA MANUFAA YETU SOTE PAMOJA NA KIZAZI CHETU CHA SASA NA KIJACHO.
TUMUUNGE MKONO NDUGU ISSA MICHUZI KWA KAZI ANAYO IFANYA NA KUWEZA KUTULETEA PICHA HIZI MAANA MIMI KWA NAFSI YANGU SIONI SABABU YA NYIE KUMTUKANA, YAPI MAKOSA ALIYO YAFANYA? AU NI KOSA KWA YEYE KUTULETEA HIZI PICHA? KAMA HASINGEKUWA NA BLOG HAYO MANENO MACHAFU MNGEYATOA WAPI? NAWAOMBA TUWEZE KUJIESHIMU NAFSI ZETU NA KUWEZA KUTOA MAONI YALIYO SAHII KTK KUJENGA TAIFA NA JAMII YETU.
NADHANI SITOKUWA NIMEWAUDHI BAADHI YA WASOMAJI WENGINE, KAMA MTAKUWA MMEUDHIKA KWA YOTE NAWAOMBA MNIWIE RADHI. UKWELI UTABAKI UKWELI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA.
NASHUKURU,
©2006 MK
kuna tofauti gani kati ya anony na mwaipopo? suala ni kwamba je ana ujumbe unaoheshimika? namaanisha kina anony wote wakiamua kuwa na majina halisi haitabadilisha kitu suala litabaki pale pale kama anamatusi moyoni mwake ataendelea kuyatoa hata akijitambulisha kama ''ISSA MICHUZI''.
ReplyDeletebwana bwaya unataka anony wastop na kifanyikie kama ulichofanya wewe kutoa picha yako hapo? sasa nitakuwa na uhakika gani kwamba hiyo picha,jina na ujumbe ni wako wewe ambaye mpaka sasa sijaweza kukutambua?nasikitika kusema leo umeandika maneno ya busara usije shangaa kesho picha yako,jina ambalo unadai lako au ujumbe ukawa vingine na matarajio yako nadhani umenipata.
ReplyDeleteha ha ha anony (kipepeo) naye ameandika kashfa jamani??? hili ni jina halisi au anony?
ReplyDeleteMK ndio nani huyu? eti anataka kujifunza kilimo na uvuvi hapa kwa blog,, ndio atakuwa makene ndio anamawazo ya ajabu kama sio kuandika matusi.
ReplyDeleteEbo!!! Kufundishana kilimo na uvuvi kwenye blogu??? Hahahaa, unajua hii mijitu ya kutoka bara ina mawazo ya ajabuajabu.
ReplyDeleteakili finyu mlizo nazo ndio zinazo wafanya kuwaza hamuwezi kujifunza chchote zaidi ya mitusi. msije fanya michuzi aache kublogi na nyie kuepeleka mitusi yenu majumbani kwenu. asiyelelewa na wazazi dunia itawalea. tuone utafika wapi na hiyo mitusi kama sio kumlisisha mwanao. michuzi endelea na kazi.Ngoi. Texas, USA.
ReplyDeleteAisei, Michuzi, what is happening here? Unaoa tena?
ReplyDeleteAsante kwa ku-share picha! Na nikfika Bongo nitakuomba unipige PORTRAIT.
Hold on...hold on...hold on..... sasa kaka mirojo haka ndo kamchezo gani? ulipeleka sanduku kwao lakini?? na mahari nayo yalikubaliwa vipi.... nifafanulie kaka kumradhi
ReplyDeleteMICHUZI,KAMERA ILIYOTUMIKA KUPIGA PICHA HII NI YA KWAKO,ALAFU ULIMPA MTU USIYEMWAMINI ILI AWAPIGE PICHA,UONGO?
ReplyDelete