wanenguaji wa twanga international jukwaani...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Huyo mwingine huko nyuma kapata ajali au staili?

    ReplyDelete
  2. John Mwaipopo:
    Ndugu yangu niwie radhi tafadhali sana toa picha yako, una sura ya kutisha sana na mzinga wa kichwa

    ReplyDelete
  3. hiyo staili huyo ndo aisha

    ReplyDelete
  4. Acha kukashifu sura za watu wewe mpumbavu....mbona huiweki ya kwako tuione? kwanini usisome ujumbe tu au ndio shule tena?

    ReplyDelete
  5. Anonymous: Hahahahahaaaaaaaa
    Yaelekea na wewe pia yakhe una sura mbaya, naona jamaa kawagusa wengi humu ndani.
    teh teh teh teh
    Kigoma.

    ReplyDelete
  6. Sio ajali, huyo ndo Aisha madinda nda...

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2006

    MITAJI TU,LAKINI KWA MUZIKI WA BONGO TWANGA NI MWISHO WA MATATIZO!
    ASHA BARAKA KEEP IT UP!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...