nadhani picha hii itamfurahisha sana f.mtimkubwa na wenzie

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2006

    Hii kosovo, iraki au bongo, jamaa kama anaua nyoka vile.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2006

    Hivi F.Mtimkubwa yupo nasi naona kimya chake kinaleta utata sasa kama upo bongo unatembelea wazee tupe habari ya kuwa upo busy kidogo,tukirudi kwenye blog hii picha inanisikitisha kuona siasa ya nyumbani ni vita tu tena inapokuja kwenye uchaguzi ni kwa nini jamani nipeni jibu hasa makene, mtimkubwa.ni KITONGA anauliza

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2006

    hawa ndio waandishi wa alasiri na nipashe nini? wanaandika madudu tu,kama uhandishi wenyuewe ndio huo,, basi kazi ipo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 23, 2006

    pole sana michuzi hii picha imenisikitisha sana. Nategemea unaamini siasa bila fujo. Me thinks hiyo picha iondelewe.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 24, 2006

    Michuzi
    Naomba uitoe hii picha, nilifungua blog yako bahati mbaya wakaiona wazungu ngoja waniandame na maswali. Kwa kweli imebidi nidanganye tu kuwaridhisha naomba uitoe kaka.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 24, 2006

    grill! naomba tuanzishe petition ili michuzi aondoe hii picha.inasikitisha!!!???

    ReplyDelete
  7. MICHUZI nashukuru kutonesha donda hili. Sini kosa la pichja hii kuwaelezea ukweli wanaokuuliza. Hii ni hali halisi Zanzibar ambako huko siasa hasa ukiwa chama kisicho CCM wewe ni kama haini tu! Tena kama kawaida yako Michuzi umeipata picha hiyo karibu na bango la CHAGUA KARUME! Maudhui yamefika na kuonyesha namna ambavyo kama unapinga kuchaguliwa kwa jamaa huyo unapata mkong'oto! Mlioko ughaibuni mna nafasi ya kusema mabaya na mema ya nyumbani na sio kuwa kasuku wa kusifia tu. Hao wanaowauliza wanafaham,u ukweli na mnavyowadanganya wanapata picha nyingine mbaya kuwa sisi tu waongo! Picha kama hizi ni za kiharakati ambazo Michuzi anaweza kusaidia kuzibandika zaidi ili ulimwengu ujue namna haki za binadamu zinavyogandamizwa Zanzibar. Hapo nyumbani tumenyamaza maana wengi wananufaika na mfumo uliopo, ukimya wetu ni balaa kwa watoto na wajukuu zetu hivyo tuamke na kuzungumza sasa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 25, 2006

    Hawa watu wanatakiwa wapewe elimu ya sheria, huwezi ukavuta rungu juu namna hii wakati mtu unayempiga haonyeshi kama analeta upinzani wowote. Haya mambo yalitokea juzi juzi huku US kwa askari mmoja kumkanyaga mtuhumiwa wakati akiwa ameshawekwa chini ya ulinzi. Askari aliyefanya ujinga huo ana kesi ya kujibu. Labda Kikwete atabadilisha haya mambo kwa kuwa ni dhahiri uonevu huu ulitendeka kipindi cha Mkapa (Kabla ya uchaguzi) ambaye alikuwa hasikilizi la mtu zaidi ya wafadhili na wawekezaji toka nje!

    ReplyDelete
  9. Duh,
    Adha hii ya kupigwa bila makosa karibu ingenikuta na mimi siku moja nikiwa mji mkongwa baada ya kutangazwa matokeo ya ubunge katika jimbo hilo ambapo CCM ilipigwa chini.

    Askari walikua wametanda kila mahali utadhani wanajiandaa kuzima uvamizi unaotarajiwa kufanyika katika IKULU.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 26, 2006

    huyo polisi hapo juu ameshahukumiwa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...