hapa ni chumba kikuu kwenye nyumba alikabidhiwa nancy leo. hao wanaopozi ni kati ya wasichana 26 waliofika fainali za miss tanzania 2005

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2006

    Kakitanda gani sasa hako jamani????

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2006

    lol yaani hicho kitanda utasema cha bweni kha!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2006

    ZAWADI NI ZAWADI,KIZURI NUNUA KUFUATA MAWAZO YAKO!KWANI HAPO UNALALA MILELE?SI MASAA TU!HAPO WAMEMWANZISHIA MBIO,IKITAKA KIZURI AU TANDA KUBWA LA KULALA NA MAJIRANI ATACHONGA LA KWAKE!TUJIFUNZE KUPONGEZA ANGALAU KIDOGO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...