jk akiwa na mwenyeji wake mfalme mswati alipotembelea swaziland majuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2006

    mswati hakumpa jk ngoma moja kweli?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2006

    I second that...lazima alipewa mmoja

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2006

    hawana tofauti ya idadi ya wanawake hao watu wawili hapo juu tofauti ni moja tu mustwati kaoa wanawake wote wanaoingia kwenye anga zake

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2006

    Hail to the Chief! Yes, but the king has so called legal rights kwa mabibi. JK je? He must be you know what. Guys come on who wouldnot like to be in his position

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 04, 2006

    nani zaidi chief mswati au hugh hafner wa playboy?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 04, 2006

    Chief Mswati ndio zaidi maana yeye anawaweka wote na ni wake zake sio Hugh H yeye ni magirlfriends

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 05, 2006

    Huyo Chief ni punguwani tu wananchi wanakufa kwa dhiki na njaa yeye ameenda kuwanunulia magari ya kifahari wake zake wote na kila siku anaoa hadi wafadhili toka nje wamempiga mkwala haache matumizi mabaya.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 06, 2006

    Anonym hapo juu huyu chief Mswati anatumia principle ya CHARITY START AT HOME

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...