Home
Unlabelled
kessy
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mh!
ReplyDeletembona pua imepinda tena?? huyu hakustahili kabisa kuitwa miss Tanzania
mbona kawa mzaramo hivi?
ReplyDeletePeople change....alikuwa 1997 sasa hivi ni 2006. Hata wakina mama zetu wanabadilika....kama hamjawaona.
ReplyDeleteSishangai kwa nini tulikuwa tunafanya vibaya vibaya kwenye mashindano ya ulimbwende kama warembo wenyewe ndio hao. Anony miaka kumi haitoshi kumbadilisha mtu kiasi hicho ukizingatia alikuwa na miaka 19 tu na sasa atakuwa na 29 labda kama ni teja
ReplyDeleteDah Saida kaweje tena? mbona alikuwa mrembo sana? mie nakumbuka wakati wanaanza mashindano mie na familia yangu woote tulikuwa tunajua atakuwa miss TZ mtoto alikuwa mrembo huyo! Kulikoni kazeeka haraka hivo? I hope hajakula maunga! Ashakumu si matusi kidogo afananie na picha za siku za Witini Yustoni, na hizo rasta mmmmh.
ReplyDeleteMungu ambariki foma miss Tz wetu
michuzi na wew mchokozo najua alikuomba uitafute hii piha na kuiweka.
ReplyDeleteunaujua ule mwimbo wa salamu la michelin.
ndio huyu dada hata apake nini hapendezi.
Mmi siamini hii picha imetoka vizuri, Saida sio poli hivo. PIcha saa zingine hazitoki vizuri na hii ni moja wapo ya picha ambazo hazitoki vizuri.
ReplyDeleteManake hata mimi mwenyewe huwa napiga picha afu naichana hapo hapo manake nakuwa siipendi na haifanani na mimi. Na kuna picha zingine zinatoka vizuriiiii hadi pia nazichukia kwani pia hazifananiii na mimi.
Pia nina wasi wasi labda Michuzi amechanganya hii picha sio ya Kesi saida. Michuzi hebu dabo cheki kaka.
Picha ya Saida hiyo! Siku hizi kachoka.
ReplyDeletesi mbaya hivyoooo sema tu kajiover dress na makeups hajui hata combinations za rangi yake na makeups mrembo gani huyu??? haoni miss world wa 94 (indian girl) mpaka leo analipa na ni the 10th sexiest woman in the entire world) na si urembo tu anafanya mambo mengi sasa ni actress huyu saida kakalia kujiremba tu na kuappear kwenye occasions kujionyesha yeye mzuri tafuta vitu vingine vya kufanya mama unazeeka sasa alikuwa mzuri sana mwaka ule umbo lake sidhani kama kuna aliyekuwa anamfikia nilimpenda alikuwa na urefu mzuri tumbo limekata ile inavyotakiwa.....jaribu vitu vingine vinavyoweza kukutoa achana na kujipaka mavitu ambayo yanakuaribu muonekano wako eti ukitoka mahali watu waseme huyu miss tz 12997.. unaniuzi sanaa.
ReplyDeleteUshauri mzuri kwa miss Tz 1997.
ReplyDeleteLakini mkuu hili la 10 sexiest hili mimi naona huwa liko biased sana. kwani kuna warembo sexiest wengi hawaja jumuishwa. nafikiri ukisema 10 most sexiest in the movie industry nitakubaliana na wewe.
Vinginevyo ni kama vile wamarekani wanavosema SPURS ni world basketiboll champion wakati wanajua kabisa mataifa mangine hayakushiriki kwene mashindano ya NBA.
AU wanavosema Whitesox ni world champions utasema walishindani na mataifa yooote duniani.
mimi wananiuzi!
huo ni mf tu nimezungumzia kwamba ukiwa miss unatakiwa kuwa creative kufanya mengine mengi nje ya urembo nimetaka tu kumwelezea jinsi gani wenzako wanavyoendelea ni kweli unavyosema kwamba ni 10th katika majudge walioshirikishwa na washiriki waliokuwepo.
ReplyDeletehalafu huyu miss gani hajui hata jinsi ya kutafuta wig la kuvaa?
ReplyDeleteHIVI INA MAANA WEWE SAIDA HUSOMI MTANDAO AU NA IWEJE MPAKA LEO HUJAMWAMBIA MICHUZI ATOE HIYO PICHA?
ReplyDeleteJamani labda Michuzi kakosea kwenye kapsheni yake alikusudia kutuambia kuwa huyu ni anti Kessy yule mtoto wa watu na si Saida Kessy
ReplyDeleteaitoe ya nini ibaki hapo hapo tuzidi kuliona baya na roho yake mbaya.
ReplyDeleteHAPA KUNA JAMBO LIMEJIFICHA,MBONA WATU WANA JAZBA HIVI NA DADA WA WATU?UKISOMA VIZURI MAONI MENGI YANA HISIA ZA KIKE-KIKE(KUNA ALIYEWAHI KUINGILIANA ANGA NA HUYU DADA?)AU KUNA CHUKI BINAFSI?
ReplyDeleteBASI JAMANI,TUMETUKANA IMETOSHA;NDIO UPENDO TULIOJALIWA NA MUNGU!
wewe anony hapo juu mbona unashindwa kuelewa vitu vidogo ambavyo wala huitaji kuwa kuwa rocket scientist mf.filbert bayi alipokuwa mkimbiaji bora,odemba alipokuwa face of africa,etc ina maana wao ndio zaidi ya wote? ni kwamba ni ktk walioshirikishwa ndugu yangu.
ReplyDeletechakaa? waza pindi yeye arobaini?
ReplyDeletekwajuka!
jamani watanzania wenzangu mbona mnachukia kiasi hichi? Nina hakika half of you hamna uzuri wa kuitwa Miss or MR popote pale! Dont hate-if you have it flaunt it- mwenzenu alijitolelea kurepresent taifa lake sasa nyie wazuri mlikuwa wapi hamjajitokeza? Acheni hizo! Vibaya!!
ReplyDeleteAkhsante hapo juu. Ndugu zangu watanzania stop hating.. mlikuwa wapi akichaguliwa yeye? Mwenzenu kasimama kuwakilisha nchi yake mnachoweza kufanya ni kuponda tu! Jamani hatuendi hivo..
ReplyDelete