Home
Unlabelled
lidaz klab
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WE "ZEMARCOPOLO"UKITAKA KIFO WE NENDA KUINGIA BILA UCHACHE,ILE MIDUDE MNAYOIITA"MIBAUNSA"ITAINYOFOA ROHO YAKO PASINA AJIZI!NI NJE KWELI,LAKINI KUNA "FENSI"(WIGO)WA HAJA MAHALI HAPO!HEWA SWAAFI!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKaka Michuzi hapo wanapiga Twanga Chipolopolo au twanga original?
ReplyDeleteKwa niaba ya Michuzi, kwa kuwa hivyo ni viwanja vyangu vile vile, hapo huwa wanapiga wote Twanga pepeta na chipolopolo kwa pamoja. Huwa inakuwa kama mashindano vile ya ndugu wawili. ZEMARCOPOLO kajaribu kuingia bila kulipia uone lile fance la mamilioni litakavyokuangukia. Ukija Bongo bwana ZEMARCOPOLO naomba unitafute nikupeleke huko. Revd. EVM
ReplyDeletekazi kustarehe tu, ndio maana hakuna maendeleo, angalieni wenzenu wachina wanavyofanya kweli,
ReplyDeletebongo ndio nchi yenye bar na vikundi vya muziki vingi kuliko zote duniani.
Sisi tunaangalia leo, HAMNA mtanzania anayeangalia kusacrifice starehe yake ili ajenge maisha bora kwa vizazi vijavyo. Tuna kazi kubwa. Siwezi nikadiscourage sana mambo kama haya hata hivyo kwa sababu hata mapinduzi ya viwanda marekani na ulaya yaliendana na mlipuko wa sekta ya entertainment. Ajira hapo baba...lakini ingeendana na savings na investments ili kupanua zaidi badala ya kuishia kununua bia na viatu vya taiwan.
ReplyDeleteKwa aliye interested....
Do's and don't's from China's president Hu Jintao:
Serve, don't disserve the people.
Uphold science; don't be ignorant and unenlightened.
Work hard; don't be lazy and hate work.
Be united and help each other; don't gain benefits at the expense of others.
Be honest and trustworthy, not profit-mongering at the expense of your values.
Be disciplined and law-abiding instead of chaotic and lawless.
Know plain living and hard struggle, do not wallow in luxuries and pleasures.
SISI LIPI AMBALO TUNALO HAPO? UMOJA WENYEWE UPO KWENYE HATIHATI!
Jamani Mtanzania sio mzembe kama watu wengi wanavyodai. Pia Mtanzania sio mjinga!
ReplyDeleteKuna Watanzania wengi tu wanaishi nje ya Tanzania na wanafanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
Tanzania imeshindwa kupiga hatua kubwa za kimaendeleo kutokana na kuwa na viongozi wabovu wasiojali maslahi ya taifa. Wanafiki tupu wameweka maslahi yao ya binafsi mbele.
Hawa viongozi wanajua kuandaa sera nzuri lakini ikija kwenye utekelezaji wake ndio ikakuwa mbinde!
Natumaini awamu ya JK imetambua hilo na kuondoa hawa viongozi wasiotufaa!
Tanzania itajengwa na wenye Moyo ambao ni mimi na wewe.
loo kwa kweli leo ni mara ya kwanza mimi kufurahi sana baada kusoma fikra za wenzangu za kujiendeleza badala ya kupoza pesa na wakati kusherekea kama picha inayo onyesha.kwa kweli wote nyie nnastahili pongezi kwa kufikiria hivyo.
ReplyDelete"you all have made me proud today"
naomba mmendelee na mawazo hayo mazuri kabisa namimi naamini kabisa JK tukimsaidia tanzania itakuwa ni nchi ya kuigiwa mfano kwenye bara la afrika.
uombe mungu amlinde na kumwesha JK atuondoe kwenye giza.