Home
Unlabelled
mapokezi uswazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
shoot! Jamani huko kwa mswati kuna rape cases kama mambo yenyewe ndio Hivi. Naomba kuuliza na wanaume wao wanaonyesha nini?
ReplyDeletehahahhah anony hapo juu hujatulia kwa kweli picha hii imenipa raja sana
ReplyDeleteSASA HUKO KWA HAWA MABWANA KATI YA WATU WATATU(KILA WATU WATATU)MTU MMOJA ANA VIRUSI VYA UKIMWI.YULE JAMAA ALIYESEMA "WANAUME NI CHANZO CHA MABADILIKO"KATIKA KUPAMBANA NA UKIMWI(SIO KUUTOKOMEZA!)HAKUKOSEA HATA KIDOGO.WENYEWE HAPO WAKO POA KICHIZI,LAKINI MTAZAMIJI MWENYE NGOZI YANGU KIFUNGO KIMOJAKIMOJA KINAKATIKA!
ReplyDeleteNaona hawa wanawake walikuwa wanam beep Jk, hawamjui kama si mtu wa kuchezea kwenye mambo ya totoz
ReplyDeletehapa lazima JK atarudi kinyemela,kimya kimya! usifanye mchezo na nyonyo, hata mimi nitarudi!
ReplyDeleteanyonymous,
ReplyDeleteSwazi wanaume wanaonyesha vifua tu na mapaja. Teh!Teh!teh!
Hawa hawajui kuwa imeandikwa usimjaribu au kumtia majaribuni mwenzio au? Hii kama sio kuwekana majaribuni tutaitaje?
ReplyDelete