wacheaji wa yanga wakimshangilia gaudence mwaikimba siku walipoifunga ulinzi ya kenya 3-1 kwenye kombe la kagame. leo polisi uganda wamewachapa yanga 1-0 kwenye robo fainali na kuwatoa mashindanoni. ffu ilibidi warushe mabomu 15 ya machozi kutuliza ghasia na bakola...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2006

    Dah Yanga meneno meeengi kumbe mpira hawauwezi

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2006

    Yanga wanaweza chandimu (soka la ndani) wakikutana na timu ya nje tu ni balaa kubwa. Naanza kuona kibarua cha Chamamngwana kiko hatarini

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 24, 2006

    Hii mijitu ya yanga eti jana imefanya fujo uwanjani mpaka FFU wakaletwa na kurusha mabomu ya machozi. AIBU SANA KWA YANGA MMEJISHUSHIA HADHI.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2006

    Ah1 Sasa huyo Jack Chamangwana akafundishe mpira huko kwao hajui kitu. Mziray, Charles Mkwasa mko wapi wenzenu tunaangamia. Tunamwambia amuanzishe Gulla kazi ubishi. That boy is jesus of soccer in Tanzania lakini kama mtamwacha na Chamangwa basi mjue atazeekea bench. Chamangwana una hila na Watanzania.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 24, 2006

    Michuzi,
    Hawa wameshindwa wewe unatuwekea picha ya ushindi ina maana hiyo ya kushindwa ilikuwa inasikitisha sana ndio maana hukuiweka hapa. Au mabomu ya machozi yalikufanya upoteze data zako?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 24, 2006

    Michuzi
    Acha Uyanga, Mbona mechi za simba hutudokezei kama za yanga kaka?.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 25, 2006

    Michuzi na wewe Simba sana eeh, maanake huwa hatusikii nyuzi negativu kuhusu Simba mpaka picha za safari zao mbalimbali mara algeria, Nice, au hizo kirima(ukarimu) ndio zinachangia??? acha hizo babuu, wewe blogisti babu kuwa nyutro si yale mambo ya sisi YANGA....!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...