mbunge wa kuteuliwa kupitia vijana mh. amina chifupa wa mpakanjia akihutubia leo wakati wa kukabidhi zawadi ya nyumba kwa miss world africa nancy sumari kule tabata chang'ombe. wengine toka kulia kwa mh. chifupa ni emmanuel ole naiko (mkurugenzi kituo cha uwekezaji cha taifa na patroni wa miss tanzania), nancy, mh. dk. emmanuel nchimbi, naibu waziri wizara ya habari, utamaduni na michezo, mh. machano othman saidi naibu waziri wa masialiano na uchukuzi zenj, hashim lundenga na mkurugenzi wa utamaduni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2006

    je katika fani ya siasa dada huyu ana future?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2006

    kweli mawaziri na maofisa wakuu hawana kazi za kufanya,, sasa wote hao hapo wanafuata nini?mbona mh dada huyo peke yake angetosha. jamjuah

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2006

    hata mimi nimestaajabu sana

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 04, 2006

    nawaelezeni hii nchi sasa imeharibika kabisa mawaziri hawana kazi kweli wanaenda kukabidhi nyumba jamani? nilielewa alivyopokelewa mawaziri wa sekta hiyo wangekuwapo sababu ni kweli alifanya jambo kubwa na la kihistoria ya bongo kushinda kwa mara ya kwanza lakini sasa sio ndio kila mahali wajameni

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 04, 2006

    Guyz where is Tabata Changombe? I thought Tabata was near Ubungo area? and Chang'ombe was by my Old Secondary School (Kibasila)?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 04, 2006

    Kwanini huyu Miss World Africa! anapewa nyumba? Kafabya nini cha kustahili nyumba ?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 04, 2006

    Nakubalina na wenzangu mlionitangulia ya kuwa mawaziri Tanzania hawana kazi , Huyu dada alikuwa anatosha sana kwa hiyo shughuli . Halafu watu wanalalamika nchi maskini wakati watu sio creative na wamekalia kutaka kuonekana kwenye vyombo vya habari tuu!

    Kwa staili hii ya nguvu mpya , Tanzania itaendelea kuwa maskini mpaka siku Mesiah atakaporudi

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 06, 2006

    Tatizo tulilonalo TZ pia ni umaskini wa fikra ambao ni mbaya sana.Mwaandaaji wa Miss TZ nagetosha na si waziri kwenda kule labda kama M/KITI wa umoja wa vijana sawa lakini kama waziri NO OOOO, ni kichefuchefu na kutaka kuonekana magazetini.After all, siyo deal kukabidhi nyumba kama hiyo ambayo si hekalu kama tunavyoyaona mahekalu kule MBEZI BEACH

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 13, 2006

    SASA WIZARA YA HABARI UTAMADUNI NA MICHEZO KAZI YAKE NINI?WE ULITAKA NANI AENDE?ACHA HIZO!MAENDELEO!MAENDELEO!YAAANI WE NDIO UNA AKILI KULIKO WALIOTANGULIA KATIKA NCHI HII?ULAYA HATA KUWE KUZURI VIPI,HAKI YA MUNGU HAKUWEZI KUWA KWENU!WE UNAVYOWAOONA WAZUNGU NI NDUGU ZAKO?JIVUNIE CHAKO,UKITAKA MABADILIKO TOA HOJA JUU YA HAYO MABADILIKO NA SIO KUKANDIA TU!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 19, 2006

    Sawasawa kabisa ndugu anonymous wa 4:17 am, nakuunga mkono, ni kweli hakuna mtu aliyekandia bongo na kusema wazungu ni ndugu zake, ila penye ukweli uwongo na majungu ujitenga. Hakukuwa na sababu za viongozi wote hao wa serikali kwenda kukabidhi nyumba, hiyo kazi ingemtosha mtu mmoja tu especially Mheshimiwa Amina Chifupa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...