Home
Unlabelled
nakivubo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Umenikumbusha Bongo Michuzi, But nawakumbuka wachache kutoka kulia
ReplyDelete1.Keneth Mkapa
2.Stephen kazimir Nemes
3.Mohamed Husseim Mmachinga
6.Issa Athuman Mgaya
7.Zamoyoni Mogella Golden boy
8.Edibily Lunyamila
14.Said mwamba kizota
15.Rifaat Said Mpemba.
Nadhani baada ya machinga huyo mwenye mpira ni Abubakar Salum.Wengine nimewasahau.
aaaahhhhh Michuzi mbona umenikumbusha mbali hiyo timu hapo simba walikuwa wanalia kila leo maana kila wakitia mguu ni bao kwa kwenda mbele nawakumbuka wachache wengine siwaoni vizuri, kenneth mkapa, steven names,mwanamtwa kiwelu issa athumani,lunyamila,riffat said etc.
ReplyDeleteDah hii si mchezo Issa Muhidini wa Michuzi! umenikumbusha Good old DaYs! hawa ndio Kuala Lumpur Ndugu yangu! Kuanzia Kulia Dar Young Africans:-
ReplyDeleteKeneth Pius Mkapa;
Stephen Casmir Nemes "Masajage";
Mohammed Hussein "Mmachinga"
Abubakar Salum "Sure Boy"
Mwanamtwa Kihwelo "Garincha"
Issa Athumani Mgaya
Zamoyoni Mogella "DHL"
Edibily Lunyamila
Steven Mussa
Hamisi Thobias Gaga
Method Mogella "Engineer"
Mikidadi Jumanne "Bubu"
Saidi Nassoro Mwamba "Kizota" &
Riffat Said
Michuzi acha tu! acha tu! Simba na Friends of Simba yao walikuwa wanakoma na sisi we acha tu! Mungu Mkubwa! atatujaalia tena tuache ubabaishaji katika soka!
Hamidu A. Mashaka
mhamidu@mof.go.tz
shark_ham@yahoo.com
Enzi hizo watoto wanatinga Boby Soap. Watoto waliku wametulia. Enzihizo hata litokee Gogoro kubwa kivipi klabuni watoto walikuwa Wanatinga kwenye Sharuksi wanaenda kumpiga mtu bao chini ya Uongozi wa Kapten Kocha Mchezaji Marehemu Issa Athumani Mgaya.
ReplyDeleteIt has been 16 years since this pictures had been taken in Nakivubo stadium.But we still remember these guys. Can somebody tell me Why? And do you think we gonna' be able to mention atleast recently Yanga and Simba player in 13 years later??
ReplyDeletekuna mtu kawapatia wote vizuri mpaka STEVEN MUSSA lakini baada ya hapo namuona MP, David Mwakalebela, Sanifu Lazaro( tingisha) Willy Mtendawema, na kuna mtu kama sikosei ni marehemu Method Mogella(Fundi) mungu amlaze mahali pema alitupa raha sana pale neshno!!of kozi na Riffat Said
ReplyDeleteenzi watoto walikuwa wanakwenda kama umoja wa mataifa ilikuwa raha tupu pale jukwaa la ushindi, main stand upande wa YANGA DUME!!
Michuzi, Tafadhali tubandikie picha ya Katibu mkuu wa Tiefuefu.
ReplyDeleteSasa hapo viungo nani alikuwa anaanza kati ya Gaga,Method Mogella au Issa Athumani? Na je listi nzima ilikuwaje maanake huko mbele kuna kizota, machinga na Zamoyoni.
ReplyDeletewakati mwingine tunatamani mno nyakati hizi zijirudie, lakini aaaah ndio hivyo tena, neva kam bak ageini
ReplyDeleteChama lilikuwa hivi: 1. Steven Nemes 2. Minziro/ Mkati 3.Keneth Mkapa 4. Method Mogella 5. Wille Mtendawema 6. Issa Athuman 7. Abou Sure Boy 8. Hamis Thobis Gaga 9. Kizota 10. Daima Mmachinga 11. Lunyamila. Lakini kumbuka enzi hizo Yanga ilikuwa ndio timu pekee yenye uwezo wa kutuma nusu Timu mkoani wakati timunyingine inacheza Dar. Ilikuwa balaa babu!
ReplyDeleteAloonimekosea number 2. alikuwa David wa Mwakalebela na sio minziro
ReplyDeleteAnony at 7:14; Viungo ilikuwa inakuwa hivi; Method anasimama nne, Issa anakamata sita, Gaga anafunika nane akisaidiana na Steven Musa. Yani timu ilikuwa safi hata akianza nani huoni tofauti. Ila hao ndio walikuwa waanzaji most of the time.
ReplyDeleteCheck this; Yanga Vs RTC Kagera; ( Kaitaba Stadium) 1. Rifat Said. 2. David Mwakalebela 3. Keneth Mkapa 4. Method Mogella 5. Mtendawema 6. Issa athuman 7. Sanifu Razaro 8.Hamis Thobias Gaga 9. Said Mwamba Kizota 10. Mohamed Hussein mmachinga 11. Lunyamila. Next two days watoto wanatakiwa wakipige Dar.(Ngoma ilikuwahivi) 1. Steven Nemes 2. Seleman Mkati 3.Minziro 4. Said Zimbwe 5. Mwanamtwa Kiwelu. Mikidadi jumanne 7. Sure Boy 8. Steven Mussa 9. Zamoyoni Mogella 10.Mohamed Hussein 11. John Alex. Sim mchezo!!!
ReplyDeletehii kanitumia ndugu yangu mmoja kwa email leo:
ReplyDeleteKutoka kulia kwenda kushoto: Kenneth Pius Mkapa, Steven Nemes Masajage, Mohammed Hussein “mmachinga”, Abubakar Salum “Sure Boy” Mwanamtwa Kihwelo, Isaa Athumani Mgaya (Marehemu), Zamoyoni Mogella “DHL”, Edibily Lunyamila, Steven Mussa, Hamisi Thobias “Gaga” (Marehemu), Method Mogella (Marehemu), Sekilojo Johnson Chambua, Mikidadi Jumanne, Saidi Mwamba “Kizota” na Rifat Said (Marehemu). Muhidini Issa wa Michuzi! Hapo alikuwa hachomoki mtu chama hilo! Acha bwana siyo siku hizi kila mtu anataka kucheza mpia! Soccer ina wenyewe bwana! Jogo Bonito! (The sound of Football)!
Michuzi! Hapo Chambua hajakanyaga mguu Jangwani. Ki punk hicho ni cha Mtendawema. Yule number tano alikuwa katulia sana pale kati, mipira ya juu ndio usiseme. Punk likuchanganye Michuzi!!Najua Chambua ana punk pia lakini hapo alikuwa bado hajatua Jangwani!
ReplyDeleteKuna jamaa alikuwa anaitwa Salum Kabunda "Ninja" unaweza kutuwekea picha yake Michuzi??
ReplyDeleteMMESAHAU WAKATI HUO MAMBO YOTE YALIKUWA UNAYAPATA KUPITIA REDIO TANZANIA DAR ES SALAAM.
ReplyDeletesawa sawa mwana yanga, yule baada ya Steven Mussa ni Marehemu BABA TOBI, Gaga, kuna mchezaji mmoja alikuwa anachezea AC Milan, miaka ya 90 hivi, Zvonimir Boban, kiuchezaji alikuwa hana tofauti yoyote na Gaga, mpaka wanavyokimbia, sema ndio tatizo la kuzaliwa kwetu, huonekani.
ReplyDeleteKama mnakumbuka kule Kampala Kocha alimrudisha Issa Athumani akawa mkoba, namba tano, mwisho wa michuano hiyo akawa beki tano bora!
ReplyDeletekama vile ambavyo alimrudisha Mtwa Kiwelu kutoka katikati(miedfield) hadi beki mbili ambaye pia aling'ara sana, Kocha alikuwa yule mrundi, Nzoyisaba Tauzani, yanga ina wenyewe jama na mimi ni mmoja wao.
Michuzi inasemekana tokea miaka ya nyuma kwamba JK ni Yanga la ngumi( ikibidi hata mkono mtaweka)ni kweli hizi habari?
Michuzi, yupo wapi Salvatory Edward? huyu jamaa kwa mara ya kwanza niliona akimpiga mtu kanzu kwa kichwa!! ilikuwa Taifa Stars na Sudan, japokuwa ilikuwa jukwaa la Simba ilibidi tu na wao washangalie, si unajua itikadi hizi zilikuwepo hata kicheza timu ya taifa
ReplyDeletenimeangalia mechi nyingi ligi mbali mbali, world cup kadhaa ile bado sijaona!!! haijarudiwa!
Michuzi unaniacha hoi sana kunikumbusha enzi hizo tamu.
ReplyDeleteBwana Michuzi chama lilikuwa linatisha, nakumbuka kuna rafiki yangu mmoja alikuwa beki 4 wa majimaji sasa namba mbili wao akaumia jamaa akaambiwa atroti kuchukua namba akajifanya ameumia wakati alikuwa benchi wakati huo lunyamila alikuwa anakimbiza balaa na Yanga ametoka kuifanyia umafya Coastal iliyotimia 5-1, Uganda chama lilikuwa hivi
ReplyDelete1. Stephen Nemes/Riffat Said
2. Mwanamtwa Kihwelo/Mwakalebela
3. Keneth Pius Mkapa
4. Willy Mtendawema
5. Isa Athuman Mgaya
6. Method Mogella Fundi
7. Zamoyoni Mogella DHL
8. Stephen Musa/ Gagarino
9. Said Nassor Mwamba Kizota
10.Mohamed Hussein Mmachinga
11.Edibil Jonas Lunyamila
Naitwa Martin Chacha-Chacharino