Home
Unlabelled
samora
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hayp majengo yana hali mbaya sana yafanyiwe ukarabati kidogo basi.
ReplyDeletethanks MR MICHUZI kwani huwa nafuatilia sana hii site,ni kuwa nafurahishwa sana humu unastahili kushkuriwa. keep it up tupo wengi tunachungulia nyumbani kujua ahsante ,Norway
ReplyDeleteAh! ni kweli mtaa mkubwa kuliko yote ndani ya jiji kwa sababu hata"Daili nyuzi" pia ofisi zao ziko hapo hapo, yaani bwan' Michuzi ndo mitaa yako ya kujidai saana
ReplyDeleteThanks MR MICHUZI kwani huwa nafuatilia sana hii site,ni kuwa nafurahishwa sana humu unastahili kushkuriwa. keep it up tupo wengi tunachungulia nyumbani kujua ahsante , Columbus, OH
ReplyDeleteBwana michuzi asante kwa picha kila siku tunazidi kuelimika. hata hivyo naomba kufahamishwa mtaa huu wa samora, ni Mkubwa kwa Urefu, Umaarufu au kiumri? samahani, kuuliza si ujinga!
ReplyDeleteUngetuwekea na barabara ya uhuru labda tungepata ahueni maana waziri mkuu (Lowasa) leo jioni ametembelea kwa kushtukiza barabara ya Shekilango na ameziamuru mamlaka husika kuanza ukaarabati jumatatu
ReplyDeletekhaaa haya majengo ya kale mno yabomolewe yote ijengwe upya,,uchafu mtupu huu, yaa hii nchi inachekesha kweli.
ReplyDeletemtaaautafikiri uchochoro wa kupereka watumwa pare US.
angalia mitaa ya ulaya,acha bwana, hii kitu gani.
ndio broadstreet au nini?
haya magofu yamejengwa yote na wahindi, mafundi uchwara tu, miaka ya arobaini huko.
sijui wakubwa wanasubiri mpaka yaanguke.
naona wanataka kila jengo tz liwe la makumbusho.
ReplyDeletebasi mtaa huo ukitembea watu kibao sijui wanatoka na kwenda wapi hawa watu.
ReplyDeleteNaona nyie Anony hapo juu mnalinganisha mbingu na nchi, mtu hujikuna anapofikia jamani.
ReplyDeletekweli kabisa wapige greda,wajenge majengo ya vioo ya kisasa,na maduka ya ngazi za umeme(ekseleta) hayo ndio tutasema maendeleo,magofu ya wahindi haya.
ReplyDeletehayo majengo ya kisasa mbona yapo mengi tu hapo hapo mjini. Mimi nafikiri ni uamuzi tu ulifikiwa kuyaacha baadhi ya majengo, ni piece of historia. So long as ni pasafi na kuna majengo ya kisasa here and there hapo mtaani, inatosha. UK mbona majengo ya 47 yapo mengi tu au na wao hawana maendeleo?
ReplyDeleteBy the way, kuna mtaa gani Dar uliopewa jina la mfanyabiashara wa kitz? Naomba kupata positive answer.
ReplyDeleteMi nasema hivi kama kungekuwapo mashindano ya blogi basi bwana Michuzi angekuwa mshindi wa tunzo hiyo!!!!! Hakuna blogi kubwa na yenye umaarufu kama hii bwana. Wote wanapoteza muda Michuzi 1 wengine wanafuatia. Tunakuzimia michuzi.Cathy wa Birmingham. halo halo, halo*1000
ReplyDeleteCathy uko wapi wewe! Mbona bwana Ndesanjo alishajinyakulia siku nyingi.
ReplyDeleteasante cathy. lakini kama alivosema gawe hapo juu, sidhani kuna wa kumbiti ndesanjo, ambaye ndiye mbatizaji wangu. hata hivyo asante sana kwa kunitia moyo.
ReplyDeletestay tuned. leo naenda brazil. hivyo kaeni mkao wa kula
Lete vitu Michuzi, S. America sio mchezo.....naomba ututumie picha moja tu ya "Brazilian Butt !" samahani kwa kutumia lugha hii. Asante!
ReplyDeleteMh! Hapa kaka kidooooogo umenitupa kando! Mtaa mkubwa unamaanisha mrefu sana, mpana sana, umekwenda juu, una kifua kinene, una misuli mikubwa, una maghorofa mengi au una ofisi ya Daily News, niweke sawa kidogo kaka!
ReplyDeleteTamba,ni mtaa mkubwa ulivyoelewa kwenye kichwa chako!akitafsilia kila mtu vidole si vitavimba?Hii ni blogu ya mapicha,macho yako hayaoni?Acha ghiliba.
ReplyDeleteBwana Michuzi pole kwa kazi, sasa Brazili unakwqenda ki-Photo Point, Ki-dilinyuzi au kikazi? Hata hivyo safari njema kuvuka atlantic si mchezo! Mawimbi makubwa atiiiii!
ReplyDeleteMichuzi, nilisahau kukutakia safari njema. Usisahau kuchukua chakula cha njiani!
ReplyDeleteDear Michuzi, Hongera sana nimependa sana kazi yako.Israel Saria-www.tanzaniasports.com
ReplyDeleteAnony 10:50 fafanua kidogo.. unaposema anaenda Brazil kikazi una maanisha nini? Yaani "kikazi" gani....??!!
ReplyDeletebwana michuzi, tunakukosa sana hapa tangu majuzi nafungua hapa hakuna jipya, lakini najua ni safari ndefu sana hadi brazil, tafadhali ndugu yangu usikose kutupatia picha za samba. mihangaiko mema huko kwa mshona viatu.. Lula Da Silva.
ReplyDeleteAnonymous inaelekea huijui Dar es Salaam. Nilimwambia Michuzi kwa utani kuhusu huo mtaa kwa sababu nilitaka kujua ni ukubwa gani anaosema yeye urefu, majengo au kitu gani, mwenyewe nadhani alielewa.
ReplyDeleteasanteni wote kwa kunitakia safari njema. ndo nimeingia brasilia, baada ya kutua kwa muda sao paulo, ambako nilikuta zogo kubwa la kijambazi. ilinikumbusha sana bongo. hasa pale eapoti tulipocheleweshwa kuunganishwa ndege ya ndani ya sao paulo-brasilia kwa masaa mawili bila kutngaziwa. eniwei, nimefika salama na nimefikia hoteli iitwayo bristol 04 bloco f brasilia - df (kama kuna mwana blogu hapa brasilia tuwasiliane). vile nimeingia usiku wa manane, masnepu baadae kidogo. hii naandika kiasi cha saa 2 unusu saa za hapa brasilia. dhumuni la safari ni kwamba tanzania na brazil zinatiliana mkataba wa ushirikiano, ikiwa ni pamoja na kufungua balozi (na kutugea kocha anaeeleweka; hahhahaaa!). hivyo vile rais ametingwa kaja mh. migiro kumwaga wino, tunaenda mpokea punde akitokea uholanzi na marekani. mengi baadae... ila nilibeba mbili tatu ambazo naona nivunjie ukimya wa masaa 48, au vipi - stei tyuunnnid..
ReplyDeleteps. asante wabongo wa oslo kwa mwaliko wenu. nimeuweka kipolo, iko siku ntazuka. nisalimeni wote.
nawe saria nimekupata, nimekusoma hapo landani. mbona hunipongezi wka kunyakua fa? acha hizo bwana. yu neva woki aloni damu hapa, si unajua tena. alvin sumary upo hapo yukei??
ukienda mbele ukakunja kulia unatokezea kwenye ofisi ya Alawi.
ReplyDeleteAsante ka Kunisoma! Faza naona mambo yako ni supa ..kwa hiyo sasa umeacha kabisa kutuandikia habari za Volleyball sio!!!,Basi ukipita landan tutafutani faza!..wewe ikifka maeneo ya north utatupata karibu sana.
ReplyDelete