Home
Unlabelled
zungu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Baba michuzi vipi hiyo "kapsheni" hapo? ni MAHILI au MAHILI?
ReplyDeleteMAHILI au MAHIRI?
ReplyDeleteJamani miaka 17 hii sio ajira kwa watoto. Huko Tz ILO haipo au?
ReplyDeleteGrill umesema, si unajua tena, ajira kwa watoto inapohusisha kazi zinazoainishwa kuwa za uchafu uchafu na kutoka jasho yaani ulala hoi, mfano kuchuma kahawa, kilimo, uyaya na kadhalika. hii hapo juu si ajira kwa watoto kwa mtazamo wa ainisho la ajira kwa watoto..... nionavyo mimi!
ReplyDeleteOyaaa mbona unatukana kazi za wa2 ndugu? Ina maana wanamuziki ni wachafu au walala hoi? Wee hujaelimika kabisa
ReplyDeleteAjira za watoto ni zile zenye madhara kwao aidha kiafya au kisaikolojia huyu hapa hapati madhara yoyote bali anaonyesha kipaji chake alichojaaliwa na maulana
ReplyDelete